Akili inayoshindwa kulipambanua hili swali ndo ya kipuuzi, hebu jiulize inakuwaje magogoni kuna harufu mbaya wakati ni jirani na ikulu! Au inakuwaje nchi hii ni maskini wakati kuna kila kitu. Hii haisababishwi na viongozi pekee bali wananchi wenyewe. Ni wajinga wanaendelea kuwaweka madarakani wezi, hata pale kunakuwepo ushahidi. Sasa ulitaka CDM au viongozi wajipigie kura ili washinde!!
Inakuwaje mtu anaacha kanisa XX lilopo mtaani kwake anapanda daladala au kuchoma mafuta kwenda kanisa BB lilopo mtaa wa mbali? Je, ni kwa sababu wachungaji wa kanisa XX ni wazembe? Kweli great thinker hawapo tena JF.