assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Wonderful kitu gani sasa hapo? We utazidi kuwa mtumwa wa CCM mpaka lini?
hivi ndivo linavosomeka gazeti la Uhuru no baada ya serikali ya mtaa yalipo makao makuu chadema kugalagazwa vibaya na hivyo mahitaji ya chadema makao makuu mtaani lazmwafike ofisi za mtaa za ccm.
wonderful
hivi ndivo linavosomeka gazeti la Uhuru no baada ya serikali ya mtaa yalipo makao makuu chadema kugalagazwa vibaya na hivyo mahitaji ya chadema makao makuu mtaani lazmwafike ofisi za mtaa za ccm.
wonderful
Hivi ndivo linavosomeka gazeti la Uhuru no baada ya serikali ya mtaa yalipo makao makuu CHADEMA kugalagazwa vibaya na hivyo mahitaji ya CHADEMA makao makuu mtaani lazima wafike ofisi za mtaa za CCM.
wonderful
Mijitu ya chama cha majambazi(CCM) huwa hayana jipya!! Yamekongoroka akili!! wao ni wizi tu na kuteteana!!Nyie mngeshinda mtaa wa lumumba si mngejaza sever hapa, kupata izo 28% imekuwa balaa.
Gazeti la UHURU kila siku huwa wanachapisha nakala 2000 pekee wakati msgszeti mengine km MWANANCHI wanachapisha hadi nakala 200,000 kwa siku.
Mjinga wa kwanza ni wewe, sh..e..nzi....kabisa kama ni raha kutukana wenzako!!!
Acha uongo hakuna gazeti Tanzania wala Afrika mashariki linalochapisha nakala 200,000 danganya wajinga wenzako!!!
Sio kitu cha ajabu. Hapa Songea kuna Mtaa unaitwa Mtaa wa CCM ndani ya Kata ya Mjini ambapo Ofisi za Wilaya Mjini na Vijijini na Mkoa za CCM zipo. Mtaa huu upo chini ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Kata yenyewe ya Mjini ipo chini ya Diwani wa CHADEMA. Msishangae.Hivi ndivo linavosomeka gazeti la Uhuru no baada ya serikali ya mtaa yalipo makao makuu CHADEMA kugalagazwa vibaya na hivyo mahitaji ya CHADEMA makao makuu mtaani lazima wafike ofisi za mtaa za CCM.
wonderful