Hayo ya zamani kabisa yalijengwa kwa misaada ya wamisionari.
Lakini waumini wamefundishwa
~kwanza umuhimu wa elimu (mshike sana elimu, wala usimuavhe aende zake... ),
~ pili wakafundishwa kufanya kazi (asiefanya kazi na asile...).
~Then wakafundishwa umuhimu wa kutoa sadaka. Kwa sababu njia pekee ya kumjaribu Mungu ni kwa kutoa sadaka. Wanabarikiwa na wanatoa zaidi.
Kanisani kwangu sadaka ya wiki nzima inafika tzs 20 mil. Huo ujenzi ni issue ndoho sana.