mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,757
- 6,293
Mpagani TypicallyMimi ndiyo maana nilimuacha demu wangu kwa ajili ya ujinga huu. Alikuwa ananilazimisha kwenda kanisani kila Jumapili ukweli ni kwamba mimi na hizi dini za kuletewa na maboti tuko tofauti kabisa, watu wanasali na kuomba mimi najiuliza kuna faida gani watu wanapata kwenda kwenye majumba ya ibada. Ukileta na upuuzi wa mchango wa kuwachangia wachungaji hapo ndipo unanikimbiza kabisa kanisani. Yaani mtu ana akili zake timamu eti anakubali kuwa mtumwa wa manabii fake dizaini ya kina TB Joshua, hamnipati tena ng'oo.

MLETA MADA UTAKUWA UMELEMAZWA;Umetoka nyumbani unaamua kuingia kanisani japo kupunguza stress za ugumu wa maisha na matatizo mbalimbali lakini humo kanisani unakutana na michango isiyoisha tena kwa lazima.
Nijuavyo mimi sadaka ni kile ambacho mtu amejaaliwa kukipata
Sasa eti kuna makanisa mpaka wameweka viwango sadaka isiwe chini ya kiasi flani, bado shukrani, bado fungu la 10, bado sadaka ya utumishi, bado sadaka ya madhabahu, bado sadaka ya malimbuko sijui nini. !
Mbaya zaidi kila mahubiri ni kusisitiza utoaji sadaka na michango tu.
Sio siri makanisa yetu mnakatisha tamaa kabisa ukute mtu ni mama wa nyumbani atapataje pesa yote hiyo kama sio mwanzo wa kugombana na mmewe.
Mungu atusaidie.
Ni Kweli. Siku Hizi Makanisa Ya Afrika Yamekosa Wamisionari Toka Ulaya. Yanajiendesha Yenyewe Kuendeleza Injili. Sasa Yanakumbana Na Wachoyo Walizoea Kupokea Tu, Kutoa Kwao Ni Kugumu, Zama ZimebadilikaMLETA MADA UTAKUWA UMELEMAZWA;
1 Umelemazwa na makanisa yaliyojengwa na michango ya wazungu,(ambayo kwasasa wazungu wamejiondoa dini inajiendesha kwa michango ya waumini)
2.Umelemazwa na kuishi katika imani za dini za ukoo
3.Umelemazwa na kuishi upaganini
4.Umelemezwa kuwa kila huduma inayotolewa na dini ni bure(wakati huo unasahau kwenye dini yako hata sala ya kumwombea marehemu unailipia sadaka)
Unapaswa kujua dini ni taasisi ambayo lazima ichangishe waumini michango ili kujiendesha.
Sadaka zilikuwepo kabla yetu sisi na watoaji walipongezwa na mwenyezi Mungu.Toa UBARIKIWE