Mndwyika.wetu
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 652
- 829
Ukitaka kanisa lako lisonge mbele, wajaze waumini wako hofu ya Mungu isivyo kawaida, waambie watoe kila walicho nacho maana maisha ya Duniani hayana maana yoyote - watishie kwamba wakati wowote Yesu anarudi kuwachukua walio wake je wao wapo tayari?. Baada ya hapo kusanya mapato.Haya makanisa yetu ya lilokole hapa TZ, yana tofauti gani na kanisa la huyo Paul Mackenzie wa Kenya. Yule aliyesababisha watu kufariki Moshi kwa ajili ya kukanyaga mafuta alichukuliwa hatua gani?
Mungu atunusuru(Mathayo24:3-25)Haya makanisa yetu ya lilokole hapa TZ, yana tofauti gani na kanisa la huyo Paul Mackenzie wa Kenya. Yule aliyesababisha watu kufariki Moshi kwa ajili ya kukanyaga mafuta alichukuliwa hatua gani?
Uhuru wa kuabudu mjomba upo kwenye Katiba yetu.Inabidi serikali iregulate haya makanisa. Infact sio makanisa ni Culty.
Watu wanakua maskini kwa kupeleka hela zao zote.
Watu wanakufa kwa kuacha dawa zao za hospitali na kuamini maombi yatawaponya.
Uhuru wa kuabudu mjomba upo kwenye Katiba yetu.
Lile jamaa ni katili sana aisee, lenyewe limetoka kituoni limeshika chupa ya maji.
Hakuna tofauti. hukumbuki mwamposa aliuwa watu kwa kumwb mafuta na kuwambia wakanyage,kila mmoja anastahili yake ya kafara..Haya makanisa yetu ya lilokole hapa TZ, yana tofauti gani na kanisa la huyo Paul Mackenzie wa Kenya. Yule aliyesababisha watu kufariki Moshi kwa ajili ya kukanyaga mafuta alichukuliwa hatua gani?
Upande wa 2 wa shillingi wengi wao wana ukame wa akiliHaya makanisa yetu ya lilokole hapa TZ, yana tofauti gani na kanisa la huyo Paul Mackenzie wa Kenya. Yule aliyesababisha watu kufariki Moshi kwa ajili ya kukanyaga mafuta alichukuliwa hatua gani?
Uko sawa ndugu yangu Wakristo wengi tunapotea kwa sababu ya imani tusiyoijua.Upande wa 2 wa shillingi wengi wao wana ukame wa akili
Yani unifungishe hadi nife? 🤣🤣
Sijui ni lini mamlaka zitachukua hatua maana Hali inazidi kuwa mbaya. Labda hili la Kenya litupe Somo tuamke.Inabidi serikali iregulate haya makanisa. Infact sio makanisa ni Culty.
Watu wanakua maskini kwa kupeleka hela zao zote.
Watu wanakufa kwa kuacha dawa zao za hospitali na kuamini maombi yatawaponya.
Walokole wote wakamatwe na makanisa yao kuchomwa moto, hatuhitaji kizazi kisichojitambua.Haya makanisa yetu ya lilokole hapa TZ, yana tofauti gani na kanisa la huyo Paul Mackenzie wa Kenya. Yule aliyesababisha watu kufariki Moshi kwa ajili ya kukanyaga mafuta alichukuliwa hatua gani?
kuna makanisa ya kilokole, na kuna makanisa ya mitume na manabii feki. tofautisha hayo, kuna makanisa mengi sana watu wanaamini ni ya kiokole lakini wala sio, na hata kwenye umoja wa makanisa ya kilokole hayapo. hao wote wanauza mafuta na maji, sio walokole.Haya makanisa yetu ya lilokole hapa TZ, yana tofauti gani na kanisa la huyo Paul Mackenzie wa Kenya. Yule aliyesababisha watu kufariki Moshi kwa ajili ya kukanyaga mafuta alichukuliwa hatua gani?