Niliwahi kuelezwa na afisa mmoja wa jeshi kuwa hii heshima ya Salute haitakiwi kutolewa na mtu asiyekuwa askari wa jeshi fulani.Alifanya hivi baada ya kuwakamata jamaa fulani wawili wakisalimiana kwa kupigiana salute na kuwataka wajitambulishe kwa kuonyesha vitambulisho kuwa wao ni askari wa jeshi gani? maana walikuwa kiraia.Sasa sijui hawa niliowaona jana wakifanya gwaride na kutoa hizi salute ni askari wa jeshi gani hapa Tz?.