Makamu wa Raisi wa OBAMA,Joe Biden.

Makamu wa Raisi wa OBAMA,Joe Biden.

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
8,562
Reaction score
18,451
Matumizi ya ofisi ya umma ili kujinufaisha sio Africa tu,ni hulka ya Mwanadamu,Aliyekuwa makamu wa Raisi wa Obama,Joe Biden,moja ya majukumu yake ilikuwa kusimamia Sera za nishati na misaada kwa nchi ya Ukraine,kwa kutumia nafasi yake,kampuni ambayo mtoto wake ni mfanyakazi,ilipata tender kubwa huko Ukraine!
Sasa ukitegemea huyu mdemocrat anategemea kushindana na Mrepublican Trump!
Trump,amewaomba(kwa vitisho kidogo)Ukraine wamchunguze Joe Biden na mwanae kwa Rushwa!
Mbele ya maslahi hata makubwa ni wachafu tu!
 
Hata kama wachafu ni wasafi tu America kitu kingine wewee huyo trump mwenyewe amepita kimiujiza kumbe Putin alimsaidia bila yeye kujua,this time ngoma no ngumu ana haha tu.Huyo Biden anachukua urais.
 
Hata kama wachafu ni wasafi tu America kitu kingine wewee huyo trump mwenyewe amepita kimiujiza kumbe Putin alimsaidia bila yeye kujua,this time ngoma no ngumu ana haha tu.Huyo Biden anachukua urais.
Hujui lolote[emoji3][emoji3]
 
Ngoja kampeni zianze tuone jinsi huyo joe alivyo mchafu na uchafu alioufanya kipindi akiwa makamu wa rais, nakumbuka jinsi Hillary Clinton alivyokuwa anachafuliwa na trump hadi akawa anatumia muda mwingi kumjibu Trump badala ya kujinadi
 
Hata kama wachafu ni wasafi tu America kitu kingine wewee huyo trump mwenyewe amepita kimiujiza kumbe Putin alimsaidia bila yeye kujua,this time ngoma no ngumu ana haha tu.Huyo Biden anachukua urais.
Hapa ndipo napotaka kufunzwa jambo,Putin na Urusi yake wanafaidika nini na uwepo wa Trump ikulu.
Nalog off
 
Back
Top Bottom