Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Wanawake Kila Sehemu Wanatia Doa!!! Ila hawawez tetereka maana Hata hao Xiaomi Wanatumia androids os So bado Ni Yale yale.... Ila kama jamaa ameenda xiaomi napata picha kua Now Xiaomi Wataanza kuship Bidhaa zao World wide maana Xiaomi wamekuwa wanauza bidhaa zao ndani ya china tuu!! Piaa hii inaweza fumngua milango mingine kwa Xiaomi kuchukua os nyingine kama firefox os , ubuntu na hata Windows maana mapato yao yameongezeka!!
Binafs ningefurah kama wakitumia Sailfish ila sjajua hawa kina Jolla wanafikiria nn kuipa Shavu hii Os!!

binafsi nimetokea kupenda xiaomi phones kabla hata ya huyu jamaa kuhamia kule,walikuwa wamejikita zaidi kwenye market ya china,ila wakianza kuuza world wide na kuanza kuangalia mahitaji ya nchi nyingine na mimi nitakuwa miongoni mwa loyal customer as phones zao ziko cheap na zina quality!!!!
kweli kabisa na kuna rekodi yao moja inanichosha sana waliuza simu mpya nakala laki 3 kwa dk 4 tu,amazing!!!Hizi ndo zikija znaweza waumbua kina Tecno
kweli kabisa na kuna rekodi yao moja inanichosha sana waliuza simu mpya nakala laki 3 kwa dk 4 tu,amazing!!!
dah bora wachina waje na kitu chao tuone watakuja na idea ipi tusahachoka na maidea ya kimarekani kila siku!!!mkuu labda hao jolla wenye njaa ila kwa firefox (non-profit) na windows (waliojaa hela) sidhani kama wataweza zichukua
tetesi zilizopo kuna os ya kichina ya simu ambayo ipo chini ya htc itatoka soon ngoja tusubiri tuone itashindana vp
Watacopy android si unajua wachina ndio zaodah bora wachina waje na kitu chao tuone watakuja na idea ipi tusahachoka na maidea ya kimarekani kila siku!!!
Watacopy android si unajua wachina ndio zao
mkuu unaweza kufunguka kidogo kuhusu sailfish???android yenyewe imejaa imejaa copy and paste kibao, na kama watatumia kernel ya linux tegemea muonekano tu kubadilika lakini itashare apps na android kama walivyofanya sailfish
mkuu unaweza kufunguka kidogo kuhusu sailfish???
nimekusoma mkuu,thanks!!!!hi ndo hio aliyoielezea nurbert os ya jolla. jolla ni kampuni na sailfish ndio os. historia yake inaanza long long time ago.
nokia walikua na os yao inaitwa maemo na kulikua na mobile linux zikaungana wakatoa os inaitwa meego,
meego ikaja ikafa wafanyakazi wa meego wakaacha kazi wakatoa os yao inaitwa sailfish hii ndo tunayoiongelea sasa.
sailfish kama android ni linux na hawa jamaa wamesema os yao itarun apps zote za android. os ipo mbion kumalizika na simu zimeanza kuuzwa kwa pre order euro 400.
itakua ni open source so utaiona sana, inasuport simu, tablets, tv na vikorokoro vyengine
Nilidhani os ya Nokia ilikuwa ni Symbianhi ndo hio aliyoielezea nurbert os ya jolla. jolla ni kampuni na sailfish ndio os. historia yake inaanza long long time ago.
nokia walikua na os yao inaitwa maemo na kulikua na mobile linux zikaungana wakatoa os inaitwa meego,
meego ikaja ikafa wafanyakazi wa meego wakaacha kazi wakatoa os yao inaitwa sailfish hii ndo tunayoiongelea sasa.
sailfish kama android ni linux na hawa jamaa wamesema os yao itarun apps zote za android. os ipo mbion kumalizika na simu zimeanza kuuzwa kwa pre order euro 400.
itakua ni open source so utaiona sana, inasuport simu, tablets, tv na vikorokoro vyengine
Nilidhani os ya Nokia ilikuwa ni Symbian
imeuliwa kabla haijatoka simu mbili tu zilitumia n9 na n950.
pia sasa hivi kuna asha os imetoka (mpya) so far ni simu moja inatumia asha 501 ila zitatoka nyingine soon.
os ya asha naiona ipo stable haina mbwemmbwe nyingi ila unapata many features as you want,sasa kilichobaki waweze kuingiza app ya instagram tu baasi,warawapata watz wengi zaidi kama sio waafrika wenye budget ya wastani
aah hiyo wababaishaji tu mpango mzima instagram yenyewe tu!!!!kuna instagraph 3rd party ya instagram