Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,906
- Thread starter
- #21
I sincerely advice you to get a life mom, get a life.You follow the events as they unfold you S.o.B!!
I sincerely advice you to get a life mom, get a life.You follow the events as they unfold you S.o.B!!
Ishu ya Clinton ya kutoka kimapenzi na Monica Lewisky wengi humu walikuwa hawajazaliwa na wengine walikuwa watoto sana. HahahhaahaKwanza lugha yako inatia ukakasi Makamo ndo nini? Bibi Pelosi ni Spika ina maana naye ni mvuta bangi? Mmezoea huku kwetu eti Rais haguswi lakini wenzetu hilo halipo. Kumbuka kesi ya Clinton na jinsi Nixon alivyojiuzuru urais? Nahisi wewe ndo unalipuliza hufanyi utafiti na kusoma kumbukumbu kabla ya kupost.
DuuhTrump is a national Security threat for soliciting a foreign power to interfere in the domestic electoral system. Yeye mwenyewe amekubali in public sasa wewe unatetea nini? Ushahidi wa kumuimpeach Trump upo na ndio maana hivi sasa he is busy trying to cover up his telephone transcripts!! If he is innocent why is he stonewalling congress subpoenas?
Amekubali kosa lipi hadharani?,Transcript ilishatoka yote un deducted na wameisoma,na bado hawajaona pa kumkamatia.Hakuna foreign influence mnayodai nyie,ilikuwa ni maongezi ya kawaida sana,tena hadi Attorney General alitajwa.Kama ingekuwa ni blackmail asingeweza muingiza AG hata siku moja,Rais wa Ukraine mwenyewe anashanga,hayo yote Maliberals mnatoa wapi..Trump mnamuongezea umaarufu tu,Trust me.Trump is a national Security threat for soliciting a foreign power to interfere in the domestic electoral system. Yeye mwenyewe amekubali in public sasa wewe unatetea nini? Ushahidi wa kumuimpeach Trump upo na ndio maana hivi sasa he is busy trying to cover up his telephone transcripts!! If he is innocent why is he stonewalling congress subpoenas?
Huwa unaangalia hata CNN au Fox News? Au unaangalia TBC 1 tu?You milf can you site a credible and reliable source? Id.iot!
Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Bw. Joe Biden akishirikiana na magenge ya wahuni na wavuta bangi wanatamani Rais mteule Tariff Man Trump apinduliwe kwa hoja za kuokoteza mtaani kutoka kwenye magenge ya wahuni.
Leo Biden kwenye kampeni amejitokeza kwa mara ya kwanza bada ya kujificha kwa Nancy Pelosi kwa muda sasa na kutaka Tariff man Trump apinduliwe eti kisha kuna mhuni mmoja kaokoteza taarifa huko na kumlalamikia Tariff man Trump.
Hebu soma hapa uone.
Biden Says Trump Should Be Impeached https://a.msn.com/r/2/AAIwv37?ym=en-us&referrerID=InAppShare
Inaelekea wewe huelewi uhuni anaofanya Trump huko marekani na ndio maana unadhani ni mtu wa maana!!!! Sikulaumu kwani hujui siasa za hawa jamaa; marekani hakuna mtu aliye juu ya sheria na hayo ndio yanayomkuta Trump kwa kukiuka katiba wenzie wanataka kumuadabisha!! Huyo unayesema kaokoteza taarifa sio mtu wa barabarani bali ni shushushu aliyebobea na anajua anachokifanya kuwa ni kwa faida ya Taifa lake na wala sio kwa faida ya chama cha siasa!!!.
Naona una simplify sana Kama mlivyozoea ku simplify ki CCM, CCM tu, Pole Sana hiyo ni America, Siyo Tanzania kwa majuhaNi uhuni mtupu,hakuna point ya maana kuitumia kama base for impeachment.Yani hadi sasa hakuna hata mmoja aliyeweza ku pin point.Kosa hasa la Trump kisheria na kikatiba ni lipi?..Hata Nancy Pelosi hajui ametangaza Impeachment kwa bases zipi.Huyo unayemuita whistle blower ameshagunduliwa ni Liberal Trump hater and political Bias.Sasa unaposema anaipenda nchi yake sijui una maana gani.
Mkuu Hii fani haikuhusu kabisa umeivamia tu, tatizo lako Unadhani Marekani ni Kama Tanzania ya majuha ndo maana unasema ni wavuta bangi, kwa kukusaidia tu ni kwamba, Marekani ni taifa la watu wenye weledi, (akili nyingi mno) wakati Tanzania yako ni taifa la mambumbumbu ya kutupwa.Huna unachokielewa ambacho mimi sikielewi.
Kwa akili yako mtu akishakua shushushu basi huyo ni exceptional, huwezi kuhoji anachokisema, sio? Akili ndogo kabisa hizi.
Mkuu Hii fani haikuhusu kabisa umeivamia tu, tatizo lako Unadhani Marekani ni Kama Tanzania ya majuha ndo maana unasema ni wavuta bangi, kwa kukusaidia tu ni kwamba, Marekani ni taifa la watu wenye weledi, (akili nyingi mno) wakati Tanzania yako ni taifa la mambumbumbu ya kutupwa.
Nadhani wewe uko CCM, chama cha majuha, kazi yenu ni kumsifia malaika wa Chato ndo maana unashangaa kuona Trump anakuwa impeached, Siyo kupinduliwa, nikupe pole, umevamia fani za watu
Ni impeachment siyo kumpindua. Kama una mahaba niue sawa, lakini usigeuze maneno na kuweka vipropaganda. Mambo yaliyotokea na aliyokiri mwenyewe si siri hata kidogo. Labda kama umetumwa. Pia, No amount of evidence will convince an idiot. - Mark Twain.Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Bw. Joe Biden akishirikiana na magenge ya wahuni na wavuta bangi wanatamani Rais mteule Tariff Man Trump apinduliwe kwa hoja za kuokoteza mtaani kutoka kwenye magenge ya wahuni.
Leo Biden kwenye kampeni amejitokeza kwa mara ya kwanza bada ya kujificha kwa Nancy Pelosi kwa muda sasa na kutaka Tariff man Trump apinduliwe eti kisha kuna mhuni mmoja kaokoteza taarifa huko na kumlalamikia Tariff man Trump.
Hebu soma hapa uone.
Biden Says Trump Should Be Impeached Biden Says That Trump Should Be Impeached
Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Bw. Joe Biden akishirikiana na magenge ya wahuni na wavuta bangi ????Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Bw. Joe Biden akishirikiana na magenge ya wahuni na wavuta bangi wanatamani Rais mteule Tariff Man Trump apinduliwe kwa hoja za kuokoteza mtaani kutoka kwenye magenge ya wahuni.
Leo Biden kwenye kampeni amejitokeza kwa mara ya kwanza bada ya kujificha kwa Nancy Pelosi kwa muda sasa na kutaka Tariff man Trump apinduliwe eti kisha kuna mhuni mmoja kaokoteza taarifa huko na kumlalamikia Tariff man Trump.
=====================
View attachment 1240687
Joe Biden and son Hunter
Biden says for first time Trump should be impeached
Former vice president Joe Biden, who is one of the leading Democrats vying to take on Trump in the 2020 election, said the the president has "betrayed this nation" and violated his oath of office.
"To preserve our Constitution, our democracy, our basic integrity, he should be impeached," said Biden, speaking at a rally in New Hampshire.
"He's shooting holes in the Constitution, and we can not let him get away with it," he added.
The House impeachment probe centres on whether Trump withheld $400m in military aid from Ukraine in an attempt to pressure officials to investigate a gas company linked to Biden's son, Hunter.
Source: Al-Jazeera
Hamna kitu hapo ni siasa tu hizo kama wanazofanyiwa akina Mbowe hapa, hao Democrats wameona maji marefu. However, the strategy will turn out to be a Dog's Dinner.Inaelekea wewe huelewi uhuni anaofanya Trump huko marekani na ndio maana unadhani ni mtu wa maana!!!! Sikulaumu kwani hujui siasa za hawa jamaa; marekani hakuna mtu aliye juu ya sheria na hayo ndio yanayomkuta Trump kwa kukiuka katiba wenzie wanataka kumuadabisha!! Huyo unayesema kaokoteza taarifa sio mtu wa barabarani bali ni shushushu aliyebobea na anajua anachokifanya kuwa ni kwa faida ya Taifa lake na wala sio kwa faida ya chama cha siasa!!!.