Makamu wa Rais Mhe. Samia akutana na ujumbe kutoka kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Urusi Mhe. Denis Manturov aliyeongoza ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Urusi Mhe. Vladmir Putin wakati ujumbe huo ulipofia Ikulu Dar es salaam jana April 28, 2016. Katika mazungumzo yao Viongozi hao wamezungumzia kuhusu kuendelea kuzidisha ushirikiano katika Nyanja mbalimbali za kimaendejana baina ya Tanzania na Urusi.

SU2.jpg


SU4.jpg


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Urusi Mhe. Denis Manturov aliyeongoza ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Urusi Mhe. Vladmir Putin wakati ujumbe huo ulipofia Ikulu Dar es salaam jana April 28, 2016. Katika mazungumzo yao Viongozi hao wamezungumzia kuhusu kuendelea kuzidisha ushirikiano katika Nyanja mbalimbali za kimaendejana baina ya Tanzania na Urusi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Urusi Mhe. Denis Manturov aliyeongoza ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Urusi Mhe. Vladmir Putin wakati ujumbe huo ulipofia Ikulu Dar es salaam jana April 28, 2016. Katika mazungumzo yao Viongozi hao wamezungumzia kuhusu kuendelea kuzidisha ushirikiano katika Nyanja mbalimbali za kimaendejana baina ya Tanzania na Urusi.

SU6.jpg


Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki kikanda na Kimataifa Mhe. Augustine Mahiga akisalimiana na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Urusi Mhe. Denis Manturov aliyeongoza ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Urusi Mhe. Vladmir Putin wakati ujumbe huo ulipofia Ikulu Dar es salaam jana April 28, 2016. Kwa ajili ya kuonana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ambapo kwenye mazungumzo yao Viongozi hao wamezungumzia kuhusu kuendelea kuzidisha ushirikiano katika Nyanja mbalimbali za kimaendejana baina ya Tanzania na Urusi. Katikati Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan.
 
Miaka ya zamani sisi na warusi tulikuwa wajamaa. Tukiamini kuwa ubepari ni unyama, leo hii warusi na sisi tumemezwa kwenye dunia halisi ya kibepari. Mafisadi waliopo hapa bongo ni cha mtoto kulinganisha na jinsi ambavyo wale mafisadi wa russia wanavyopiga pesa na kuziweka kwenye akaunti za nje.
Enzi zile russia ya kijamaa, wasomi na wasio na elimu wote kwenye usafiri mmoja, wote wanaingia kwenye maduka ya kaya. Leo hii wameibuka kina Abramovich na wengine wanakula good times kwa kwenda mbele.
Hopefully wafanyabiashara wa Tanzania watalitumia vizuri soko la kahawa, kule Russia/Ukraine na nchi nyingine za eastern bloc kuna mahitaji mengi sana ya kahawa. Wanaipenda sana kahawa yetu, kazi kwao wafanya biashara wa kahawa wa Kilimanjaro na Kagera, huu uhusiano kati ya Russia na Tanzania kibiashara sio wa kupuuzwa hata kidogo.
 
Bila shaka kodi ya vodka itapunguzwa watz tuzidi kulewa na kusahau katiba mpya.
 
JK alitishwaga mwaka juzi. Putin alikuwa aje TZ mwaka jana mwezi wa kwanza. Ghafla Obama akatuma waziri wake wa biashara. Watu wakasema alitishwa.

Sijui hii imekuweje tena hapa.
 
Back
Top Bottom