Duh! Kweli aiseee. Naona mkono uliteleza hapoEdit basi maana inaonesha 2014
Unataka kutuambia kipindi chote cha tezi dume vikao havikufanyika?Duh! Hii kweli ni Awamu ya Tano. Nafikiri Mzee Bilal hakuwahi kufanya kitu kama hiki katika kipindi chake.
Unataka nichangie nini kama sina cha kuchangia, nevertheless ulitegemea michango gani hasa kutoka kwa wadau mkuu?Hii thread mbona haina wachangiaji?
Nawee kwa kurukia rukia haujamboDuh! Kweli aiseee. Naona mkono uliteleza hapo
Niya kiumbea umbea, hivi suruhu kuongoza kikao nayo ni habari kweli?Hii thread mbona haina wachangiaji?
Eti nawe ni GT?Hata mapovu ya ukawa
Muulize Membe safari za waziri wa mambo ya nje alikuwa anakwenda nani? Wewe kumbe hukuwahi kumjuwa Mkwele.Unataka kutuambia kipindi chote cha tezi dume vikao havikufanyika?
Masahihisho kidogo mkuu.Niya kiumbea umbea, hivi suruhu kuongoza kikao nayo ni habari kweli?
Karume Jr alishakataaga ujinga huo wa kuhudhuria kikao cha baraza la mawaziri wakati yeye ni raisi.Mbona kiti cha Dr Shein hakijakaliwa na mtu?
Kwa kuwa kwa mujibu wa katiba yetu ya nchi, Rais wa Zanzibar pia ni mjumbe wa Baraza la mawaziri.
Inaelekea kibano cha MCC, kimeanza kumtikisa Magu, kiasi ambacho anaona 'noma' kumpa mwaliko Dr Shein wa kuhudhuria vikao hivyo.
Hiyo inatokana na ubatili wa uchaguzi wa marejeo wa Jecha uiiofanyika tarehe 20/03/2016.
Nenda kwenye ufisadi wa Ramadhani Dau na liNSSF lao watu wa hard news wapo kule. Hapa chai maharage tu hii hamna kitu.Hii thread mbona haina wachangiaji?
Mzee majipu anakuua njaa very soon we bado unapiga Vigeregere?Safi sana, ni vizuri kuwajengea uwezo mama zetu, hongera sana mzee wa majipu