kitowowoti
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 772
- 522
vc niini?Mh.Makamu was Rais wewe ndiye ulikuwa Mchumi namba moja wa Awamu ya Tano!
Wewe ndio ulikuwa unatudadavulia kisomi mafanikio ya kiuchumi ya mwendazake!
Wewe ndio ulituelimisha kuhusu uchumi wetu kukua kwa 7%.
Wewe ndio ulituambia kuhusu ATCL kuoata faida Hadi kutoa gawio kwa Serikali.😨
Leo miezi miwili tu inaonekana ndivyo sivyo!
Mama anasema Sasa uchumi upo 4% kisa no Covid 19 Ambapo tuliambiwa tumeishinda!
Katika Hali ya kawaida tunaweza kusema Serikali ilikuwa inatudanganya!
Sasa Mh.VC wewe Kitaalamu si inakudhalilisha!
Najua kwenye Siasa inawezekana ,lakini kwa Mamlaka uliynayo Sasa ni Busara ukatubu!
Hafai hata kuwa Makamu wa Rais amechangia Uchafu wote wa Uchumi na Fedha uliopoMh.Makamu was Rais wewe ndiye ulikuwa Mchumi namba moja wa Awamu ya Tano!
Wewe ndio ulikuwa unatudadavulia kisomi mafanikio ya kiuchumi ya mwendazake!
Wewe ndio ulituelimisha kuhusu uchumi wetu kukua kwa 7%.
Wewe ndio ulituambia kuhusu ATCL kuoata faida Hadi kutoa gawio kwa Serikali.[emoji32]
Leo miezi miwili tu inaonekana ndivyo sivyo!
Mama anasema Sasa uchumi upo 4% kisa no Covid 19 Ambapo tuliambiwa tumeishinda!
Katika Hali ya kawaida tunaweza kusema Serikali ilikuwa inatudanganya!
Sasa Mh.VC wewe Kitaalamu si inakudhalilisha!
Najua kwenye Siasa inawezekana ,lakini kwa Mamlaka uliynayo Sasa ni Busara ukatubu!
we acha tu, walimdanganya jiwe kuwa yuko fiti akawa anapiga na pushup kumbe anatembelea betri kama remote ya tv, wangetueleza kuwa mzee hayuko poa tungemzuia huko kujimwambafai, huyu nae supana mkononi sijui kama ataiweza kuizungukia hii nchi, manake tangu ateuliwe tofauti na dodoma keshaenda dar na mwanza tu, tena kwenye minuso tu,Mh.Makamu was Rais wewe ndiye ulikuwa Mchumi namba moja wa Awamu ya Tano!
Wewe ndio ulikuwa unatudadavulia kisomi mafanikio ya kiuchumi ya mwendazake!
Wewe ndio ulituelimisha kuhusu uchumi wetu kukua kwa 7%.
Wewe ndio ulituambia kuhusu ATCL kuoata faida Hadi kutoa gawio kwa Serikali.😨
Leo miezi miwili tu inaonekana ndivyo sivyo!
Mama anasema Sasa uchumi upo 4% kisa no Covid 19 Ambapo tuliambiwa tumeishinda!
Katika Hali ya kawaida tunaweza kusema Serikali ilikuwa inatudanganya!
Sasa Mh.VC wewe Kitaalamu si inakudhalilisha!
Najua kwenye Siasa inawezekana ,lakini kwa Mamlaka uliynayo Sasa ni Busara ukatubu!
Sasa si bora ungeuliza kwanza ukaelewa kuliko kupost jambo kumbe ni out of ignorance.Sawa tunaposema uchumi wa kati tunaumeasure vipi?
Sisi Wananchi wa kawaida mnatuchanganya.Uchumi wa kati haubase kwenye hizo % brother..
Taifa kama la Germany liko katika uchumi wa juu kabisa na ni Taifa lenye uchumi mkubwa zaidi pale barani Ulaya lakini % zao ushawahi kuziona? Embu tafuta google ujionee mwenyeweView attachment 1770832
stupiditySasa si bora ungeuliza kwanza ukaelewa kuliko kupost jambo kumbe ni out of ignorance.
Stupid or stupidity??stupidity
[emoji15]! Kwanini hana akili au kwa sababu kaongea ukweliItoshe kusema huna akili.
Ndio maanayakeIkiwa serikali itudanganya, world bank nayo ili idanganya dunia kuhusu uchumi wa Tanzania kuimarika kipindi cha korona?
Teletee hiyo hotuba otherwise na wewe ni muongo kama waoBinafsi niliwahi kumsikia Hayati akisema kutokana na janga la Corona uchumi wetu umekuwa kwa 4% japo nimejaribu kweli kuisaka ile hotuba sijaipata na sikumbuki aliongea akiwa wapi.
Alichozungumzia Mama ni report hiyohiyo ambao wanaanda wataalam wake wa BOT na sio yeye mwenyewe ni same na Hayati, na hapo ujue amezungumzia kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ambapo report zake ziko tayari sio 2018/2019 kabla ya ujio wa Corona ambapo ukuaji wa uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.8%- 7% kama alivyosema yeye mwenyewe Mama.
Hivo basi kitendo cha mama kusema uchumi wetu umekuwa kwa 4.9% toka 6.9% manaake ni kweli ikichosema hayati kuwa uchumi wa nchi ukikuwa katika ratio hiyo huko nyuma lakini kutoka na hali fulani yasasa umeporomoka na kukua kwa 4%.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona hayati alisema sisi corona haituhusu hivyo tuendelee kuchapa kazi ili tuilishe dunia ambayo imejifungia ndani sasa iweje uchumi uporomoke tena wakati sisi corona haituhusu?
[emoji15]!!! HEEE!!! Acheni uongo Kwani wakati wa MWENDAZAKE kulikua kuna CORONA acheni kupotosha nyie ndio wenye lile genge lenye nia ya kufuta LEGACY ya marehem MALAIKA wakati CORONA haikuwepo banaBinafsi niliwahi kumsikia Hayati akisema kutokana na janga la Corona uchumi wetu umekuwa kwa 4% japo nimejaribu kweli kuisaka ile hotuba sijaipata na sikumbuki aliongea akiwa wapi.
Alichozungumzia Mama ni report hiyohiyo ambao wanaanda wataalam wake wa BOT na sio yeye mwenyewe ni same na Hayati, na hapo ujue amezungumzia kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ambapo report zake ziko tayari sio 2018/2019 kabla ya ujio wa Corona ambapo ukuaji wa uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.8%- 7% kama alivyosema yeye mwenyewe Mama.
Hivo basi kitendo cha mama kusema uchumi wetu umekuwa kwa 4.9% toka 6.9% manaake ni kweli ikichosema hayati kuwa uchumi wa nchi ukikuwa katika ratio hiyo huko nyuma lakini kutoka na hali fulani yasasa umeporomoka na kukua kwa 4%.
Ukweli gani kaongea hapo zaidi ya porojo...! Kwani uongo Corona kuathiri uchumi.?[emoji15]! Kwanini hana akili au kwa sababu kaongea ukweli
Ona sasa kumbe na wewe huna akili ndio maana unamtetea. Jifunze kutumia akili vizuri....![emoji15]!!! HEEE!!! Acheni uongo Kwani wakati wa MWENDAZAKE kulikua kuna CORONA acheni kupotosha nyie ndio wenye lile genge lenye nia ya kufuta LEGACY ya marehem MALAIKA wakati corona hailuwepo bana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pesa tunazo. Sisi niatajari. Watanzania tembeeni kifua mbele..
Kwani wakati wa MAGU Corona ilikuwepo !!!???Ukweli gani kaongea hapo zaidi ya porojo...! Kwani uongo Corona kuathiri uchumi.?