Itoshe kusema huna akili.Mh.Makamu was Rais wewe ndiye ulikuwa Mchumi namba moja wa Awamu ya Tano!
Wewe ndio ulikuwa unatudadavulia kisomi mafanikio ya kiuchumi ya mwendazake!
Wewe ndio ulituelimisha kuhusu uchumi wetu kukua kwa 7%.
Wewe ndio ulituambia kuhusu ATCL kuoata faida Hadi kutoa gawio kwa Serikali.
Leo miezi miwili tu inaonekana ndivyo sivyo!
Mama anasema Sasa uchumi upo 4% kisa no Covid 19 Ambapo tuliambiwa tumeishinda!
Katika Hali ya kawaida tunaweza kusema Serikali ilikuwa inatudanganya!
Sasa Mh.VC wewe Kitaalamu si inakudhalilisha!
Najua kwenye Siasa inawezekana ,lakini kwa Mamlaka uliynayo Sasa ni Busara ukatubu!
Binafsi niliwahi kumsikia Hayati akisema kutokana na janga la Corona uchumi wetu umekuwa kwa 4% japo nimejaribu kweli kuisaka ile hotuba sijaipata na sikumbuki aliongea akiwa wapi.Mh.Makamu was Rais wewe ndiye ulikuwa Mchumi namba moja wa Awamu ya Tano!
Wewe ndio ulikuwa unatudadavulia kisomi mafanikio ya kiuchumi ya mwendazake!
Wewe ndio ulituelimisha kuhusu uchumi wetu kukua kwa 7%.
Wewe ndio ulituambia kuhusu ATCL kuoata faida Hadi kutoa gawio kwa Serikali.
Leo miezi miwili tu inaonekana ndivyo sivyo!
Mama anasema Sasa uchumi upo 4% kisa no Covid 19 Ambapo tuliambiwa tumeishinda!
Katika Hali ya kawaida tunaweza kusema Serikali ilikuwa inatudanganya!
Sasa Mh.VC wewe Kitaalamu si inakudhalilisha!
Najua kwenye Siasa inawezekana ,lakini kwa Mamlaka uliynayo Sasa ni Busara ukatubu!
Kwani uchumi wa kati walikuwa wanasema tumeufikia ni asilimia ngapi?Binafsi niliwahi kumsikia Hayati akisema kutokana na janga la Corona uchumi wetu umekuwa kwa 4% japo nimejaribu kweli kuisaka ile hotuba sijaipata na sikumbuki aliongea akiwa wapi.
Alichozungumzia Mama ni report hiyohiyo ambao wanaanda wataalam wake wa BOT na sio yeye mwenyewe ni same na Hayati, na hapo ujue amezungumzia kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ambapo report zake ziko tayari sio 2018/2019 kabla ya ujio wa Corona ambapo ukuaji wa uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.8%- 7% kama alivyosema yeye mwenyewe Mama.
Hivo basi kitendo cha mama kusema uchumi wetu umekuwa kwa 4.9% toka 6.9% manaake ni kweli ikichosema hayati kuwa uchumi wa nchi ukikuwa katika ratio hiyo huko nyuma lakini kutoka na hali fulani yasasa umeporomoka na kukua kwa 4%.
Uchumi wa kati haubase kwenye hizo % brother..Kwani uchumi wa kati walikuwa wanasema tumeufikia ni asilimia ngapi?
Ni kipi kilichobadilika kwenye maisha ya Watanzania? Kukua kwa uchumi sharti kuendana na kipato cha mtu mmoja mmoja sio ujenzi wa madaraja.Ikiwa serikali itudanganya, world bank nayo ili idanganya dunia kuhusu uchumi wa Tanzania kuimarika kipindi cha korona?
Mbona hayati alisema sisi corona haituhusu hivyo tuendelee kuchapa kazi ili tuilishe dunia ambayo imejifungia ndani sasa iweje uchumi uporomoke tena wakati sisi corona haituhusu?Binafsi niliwahi kumsikia Hayati akisema kutokana na janga la Corona uchumi wetu umekuwa kwa 4% japo nimejaribu kweli kuisaka ile hotuba sijaipata na sikumbuki aliongea akiwa wapi.
Alichozungumzia Mama ni report hiyohiyo ambao wanaanda wataalam wake wa BOT na sio yeye mwenyewe ni same na Hayati, na hapo ujue amezungumzia kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ambapo report zake ziko tayari sio 2018/2019 kabla ya ujio wa Corona ambapo ukuaji wa uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.8%- 7% kama alivyosema yeye mwenyewe Mama.
Hivo basi kitendo cha mama kusema uchumi wetu umekuwa kwa 4.9% toka 6.9% manaake ni kweli ikichosema hayati kuwa uchumi wa nchi ukikuwa katika ratio hiyo huko nyuma lakini kutoka na hali fulani yasasa umeporomoka na kukua kwa 4%.
Sawa tunaposema uchumi wa kati tunaumeasure vipi?Uchumi wa kati haubase kwenye hizo % brother..
Taifa kama la Germany liko katika uchumi wa juu kabisa na ni Taifa lenye uchumi mkubwa zaidi pale barani Ulaya lakini % zao ushawahi kuziona? Embu tafuta google ujionee mwenyeweView attachment 1770832
Dah..!! Mkuu unatatizo la uelewa au unashindwa kuwaza nje Boksi? Ni hivi atakama sisi hatukuweka lockdown na vitu vingine lakini uchumi wetu uliathilika eidha kwa kukosa watalii toka nje ambako nchi zao ziliathilika zaidi na Covid pamoja kufunga safari zao za anga, pia eidha tulishindwa kupeleka bidhaa kama za mifupa na minofu ya samaki semhemu ambazo tukiuzaga na vitu vingine kama hivyo..! Kusema Sisi hatuna Covid haimaanishi kuwa athari za Covid hasa za kiuchumi hakuna katika Taifa letu.Mbona hayati alisema sisi corona haituhusu hivyo tuendelee kuchapa kazi ili tuilishe dunia ambayo imejifungia ndani sasa iweje uchumi uporomoke tena wakati sisi corona haituhusu?
pamoja na kutotuhusu kama nchi tunahusiana na nchi zingine.Mbona hayati alisema sisi corona haituhusu hivyo tuendelee kuchapa kazi ili tuilishe dunia ambayo imejifungia ndani sasa iweje uchumi uporomoke tena wakati sisi corona haituhusu?
Soma Hotuba ya Waziri Mpango ya bajeti 2020/2021 ambapo IMF ilikadilia nchi zilizo chini ya Jangwa la Sahara Uchumi wake ungekuwa kwa 1% kwa mwaka wa 2020/2021 alafu tumejitutumua mpaka 4% kuna watu wanatucheka..!! Jamani tuweni serious kidogoMbona hayati alisema sisi corona haituhusu hivyo tuendelee kuchapa kazi ili tuilishe dunia ambayo imejifungia ndani sasa iweje uchumi uporomoke tena wakati sisi corona haituhusu?
IFM imetoa ripoti inayonesha uchumi were umedorora. Haraka haraka VP akakanusha hilo.Ikiwa serikali itudanganya, world bank nayo ili idanganya dunia kuhusu uchumi wa Tanzania kuimarika kipindi cha korona?
Waliendesha serikali awamu ya 5 kwa uongo tu alichokisema mh rais samia SH ndo ukweliMh.Makamu was Rais wewe ndiye ulikuwa Mchumi namba moja wa Awamu ya Tano!
Wewe ndio ulikuwa unatudadavulia kisomi mafanikio ya kiuchumi ya mwendazake!
Wewe ndio ulituelimisha kuhusu uchumi wetu kukua kwa 7%.
Wewe ndio ulituambia kuhusu ATCL kuoata faida Hadi kutoa gawio kwa Serikali.😨
Leo miezi miwili tu inaonekana ndivyo sivyo!
Mama anasema Sasa uchumi upo 4% kisa no Covid 19 Ambapo tuliambiwa tumeishinda!
Katika Hali ya kawaida tunaweza kusema Serikali ilikuwa inatudanganya!
Sasa Mh.VC wewe Kitaalamu si inakudhalilisha!
Najua kwenye Siasa inawezekana ,lakini kwa Mamlaka uliynayo Sasa ni Busara ukatubu!
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetabiri kuwa ukuaji wa uchumi wa nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara (SSA) utaanguka kutoka makadirio ya awali ya asilimia 3.6 mwaka 2020 hadi asilimia hasi 1.6.IFM imetoa ripoti inayonesha uchumi were umedorora. Haraka haraka VP akakanusha hilo.