Makamu wa Rais azindua Mbio za Mwenge

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
8,412
2,000
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan awasili Uwanja wa Jamhuri Morogoro kwa ajili ya kuzindua mbio za Mwenge wa Uhuru.

Mwenge huo wa UHURU utakimbizwa nchi nzima katika yote Mikoa 31 na Halmashauri 173.

Tusitegemee kufutwa leo wala kesho
 
beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
2,662
2,000
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu leo amezindua rasmi mbio za Mwenge mkoani Morogoro.

Mwenge huo wa UHURU utakimbizwa nchi nzima katika yote Mikoa 31 na Halmashauri 173.

Makamu wa Rais yuko kwenye ziara ya kikazi mkoani Mororogoro.
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,360
2,000
MWENGE: Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan awasili Uwanja wa Jamhuri Morogoro kwa ajili ya kuzindua mbio za Mwenge wa Uhuru.
Mwenge huo wa UHURU utakimbizwa nchi nzima katika yote Mikoa 31 na Halmashauri 173.

#Mwananchi18Aprili2016

Tusitegemee kufutwa leo wala kesho
Kama Magufuli alithubutu kupasua jipu na kuzifuta sherehe za Uhuru na Muungano na pesa hizo za walipa kodi kuzielekeza kwenye shughuli za maendeleo.

Tunamtarajia sasa alipasue jipu kubwa zaidi la mbio za mwenge ambazo ni kama tu zinafanya shughuli za nguvu za giza, ili pesa hizo za walipa kodi ziweze kufanya shughuli za maana zaidi za maendeleo.
 
boyskillz

Senior Member
Apr 29, 2013
109
225
Kama Magufuli alithubutu kupasua jipu na kuzifuta sherehe za Uhuru na Muungano na pesa hizo za walipa kodi kuzielekeza kwenye shughuli za maendeleo.

Tunamtarajia sasa alipasue jipu kubwa zaidi la mbio za mwenge ambazo ni kama tu zinafanya shughuli za nguvu za giza, ili pesa hizo za walipa kodi ziweze kufanya shughuli za maana zaidi za maendeleo.
Thubutuuu
 
Bigirita

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
15,849
2,000
Nazipenda sana, ni fursa niliyoikosa kwa miaka mingi sema walio wengi hawajui utamu wa mbio za mwenge
Mimi najua utamu wake,
1) wakimbiza mwenge wanachinjiwa ng'ombe na mbuzi bure
2) Fedha za halmashauri (magari na wafanyakazi vinatumika including kutumia fedha zisizohusika)
3) Kila unapolala mwenge lazima kuwe na mkesha - music, pombe na wanawake - UKIMWI njenje
4) Allowance tamu kwa wote.....
5) Ongeza zako.....
 
SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,517
2,000
Sidhan kama una mantiki had miaka hii ungefutwa tu hela zake zingeenda kujenga barabara ya lami kule kwetu ileje
 
bowlibo

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
3,174
2,000
Mimi najua utamu wake,
1) wakimbiza mwenge wanachinjiwa ng'ombe na mbuzi bure
2) Fedha za halmashauri (magari na wafanyakazi vinatumika including kutumia fedha zisizohusika)
3) Kila unapolala mwenge lazima kuwe na mkesha - music, pombe na wanawake - UKIMWI njenje
4) Allowance tamu kwa wote.....
5) Ongeza zako.....
Mpaka hapo tu inatosha kwa utamu
 
Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,910
2,000
Katika majipu yanayoingiza serikali kwenye hasara kubwa ni mwenge je JMP ameshindwa kutumbua hili jipu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom