Makamu wa Rais aondoka kwenda Papua New Guinea kumuwakilisha Magufuli

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kwenda Papua New Guinea ambako atamwakilisha Rais John Magufuli katika mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika,Caribbean na Pacific (ACP) ambao utafanyika kuanzia Mei 30 hadi Juni 01, mwaka huu.

1.jpg
 
Hivi mikutano/deliberations za nchi zetu hizi kapuku zina athali gani kwa dunia. Maana G7, EU wakifanya mikutano yao, dunia nzima huwa zinasuburi kuona litatoka azimio gani na athali zipi zitakuwepo duniani
 
Back
Top Bottom