Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake CUF Mhe. Kiza Mayeye aongoza hafla ya kumkabidhi fedha Prof. Lipumba

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
IMG_20200808_153636_781.jpg

Makamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake CUF pia ni mgombea ubunge Jimbo la kigoma vijijini Mhe. Kiza Mayeye akiongoza ghafla ya kumkabizi fedha taslimu milioni moja Mgombea wa Urais wa CUF ambaye pia ni Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba.

Fedha hizo zilizochangishwa na jumuiya ya wanawake wa chama Cha CUF pamoja na wanawake ambao ni wanachama wa chama hicho.

#MchumiTufikishe
 
Back
Top Bottom