PreGE2025 Makamu Mwenyekiti BAVICHA: Chalamila mimi sio saizi lakini lazima nikujibu

PreGE2025 Makamu Mwenyekiti BAVICHA: Chalamila mimi sio saizi lakini lazima nikujibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,690
Wakuu,

Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema Elizabeth Mwakimomo, amesema mabadiliko katika nchi hii yataletwa na chadema na kuongezea kuwa Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ni za kiudhalikishaji kwa wanawake na lina shusha hadhi ya wanawake kwa ujumla.


 
Back
Top Bottom