Mrs Shibuda amejirekebisha? Title imgesomeka Mamluki wa BAVICHA ajirekebisha?
angekuwa na shida na posho angedai mshahara,....Mbona Heche analipwa,anapewa na posho...!!!11
Juliana jembe,fanya kazi kamanda wangu J
TULIA KWANZA POVU LIKUTOKE LIISHE,MAMBO YA KUONGEA HUKU UNATOA POVU MDOMONI UTAPALIWA BURE.....Mleta maada acha uongo yani vijana wa chadema sijuhi mkoje hivyo viposho mnavyopewa vinawazuzua kweli kuja mitandaoni kuleta maneno ya uongo kila siku,watu wa mbeya hatudanganyiki wala hatushawishiki kwa hoja za kichochezi na kibaguzi nafikiri mleta maada huwajuhi watu wa mbeya vizuri huku watu hawachaguhi chama wanachagua mtu kutokana na uwezo wake wa kuwajibika kwa wananchi wake ndiyo maana walimchagua Dr Mwakyembe,Prof Mwandosya,Mh Zambi na wengineo ika kwa hapa mbeya mjini wananchi wanajuta kumchagua mwanamziki manake wanasema jimbo limebadilika limekuwa la kihuni na hakuna maendeleo yoyote na ndiyo maana Mh raisi alipoenda mbeya kuanalia uwanja wa ndege juzi juzi wamemwomba awasaidie kutatua kero zao ikiwamo za maji ambazo Mh Mbunge alihaidi kuzitatua ameshindwa kabisa alihaidi mambo mengi mpaka sasa ata yeye ukimuhoji amefanya lipi kati ya yale aliyohaidi hasemi kitu hivyuo unavyoleta maada kwa ajili ya kudanganya watu humu jamvini haisaidihi kitu unajidanyganya wewe na viongozi wako waliokutuma kama hamuamini subirini uchaguzi ujao muone kama Sugu atarudi bungeni sisi huku mbeya hatudanganyiki kirahisi rahisi kwa makelele ,fujo,porojo,uchochezi na kejeli dhidi ya serikali ambayo tunaona imetusaidia sana na bado inaendelea kutusaidia yale waliyotuhaidi tunaona wakiyatekeleza kwa vitendo!
Molemo hayo yote ynazaliwa kutiokana na aina ya viswali vinaavyoulizwa......Kuna majibu yanayo zalisha majibu kama haya so usishangae saana...Hiki ndicho mlichokuwa mnataka,mleta mada alidhamiria kuleta uchochezi kama ulivyodhihirisha hapa
Mrs ben Saanane.
Kwani BAVICHA hawana fungu kwa viongozi wao kwenye ujenzi wa chama? Hili kundi linaendelea kuchomoza kwa kasi
Malicious Fabrication.Umbeya wako huu utakupeleka pabaya siku moja.Endeleeni kuchonga kwa kuwa mnatumia ID fake lakini hamuwezi kuni-face.mmenitafuta wee bado mnaendelea.Endeleeni na uzuzu wenu kisiasa
Unajua kusema bila utafiti ni kuonyesha ufinyu wa mawazo.Do you have an idea on how daft you are?
Hata ikiwa hivyo wewe inakuhusu nini.baadhi yenu mmeshindwa kazi ya uongozi mpo huku kuchafua majina ya wengine tu
Ukiona Mwanaume unashindwa kazi ya kuongoza unaanza kuhofia wanawake wachapakazi ujue kuna tatizo.Mnapoteza kujiamini.Ndiyo maana Malawi nchi dhaifu inaongozwa na mwanamama shupavu inatupelekesha Tanzania imara inayoongozwa na wababa dhaifu.Leo tunatishiwa kunyang'anywa Ziwa Nyasa kwa kuwa tunaongozwa na wanaume dhaifu.Huu ni mzigo kwa Taifa.Usipoachana na mfume dume utakuja kututia aibu siku moja
Ninyi jamaa mmekaa kupika majungu huku tu.She's a Threat kwenu. You lot are a funny bunch! You should spend your time trying to find a way of making the lives of your fellow Tanzanians better.Jengeni chama. I understand some of you are feeling threatened by everything. That's why BAVICHA hasn't been developing the way it should. Tushirikiane kujenga BAVICHA na si kuchafuana humu.Ignorance is the order of the way. This so called 'threat' is only a figment of some over zealous and gutless political bigots. I'm not saying you shouldn't be vigilant, but people should learn to be respectful!
Mrs ben Saanane.
Kwani BAVICHA hawana fungu kwa viongozi wao kwenye ujenzi wa chama? Hili kundi linaendelea kuchomoza kwa kasi
tatizo Heche anawanyima usingizi since that time uchaguzi wa BAVICHA.
THINK BIG.
Kama miaka yote CCM imekuwa madarakani hapo Mbeya imeshinndwa kuboresha huduma za maji sugu anawezaje kufanya hivyo kwa miaka miwili na nusu? au unatuambia sugu alipochaguliwa ubunge hapo Mbeya alikausha na hayo maji?Mleta maada acha uongo yani vijana wa chadema sijuhi mkoje hivyo viposho mnavyopewa vinawazuzua kweli kuja mitandaoni kuleta maneno ya uongo kila siku,watu wa mbeya hatudanganyiki wala hatushawishiki kwa hoja za kichochezi na kibaguzi nafikiri mleta maada huwajuhi watu wa mbeya vizuri huku watu hawachaguhi chama wanachagua mtu kutokana na uwezo wake wa kuwajibika kwa wananchi wake ndiyo maana walimchagua Dr Mwakyembe,Prof Mwandosya,Mh Zambi na wengineo ika kwa hapa mbeya mjini wananchi wanajuta kumchagua mwanamziki manake wanasema jimbo limebadilika limekuwa la kihuni na hakuna maendeleo yoyote na ndiyo maana Mh raisi alipoenda mbeya kuanalia uwanja wa ndege juzi juzi wamemwomba awasaidie kutatua kero zao ikiwamo za maji ambazo Mh Mbunge alihaidi kuzitatua ameshindwa kabisa alihaidi mambo mengi mpaka sasa ata yeye ukimuhoji amefanya lipi kati ya yale aliyohaidi hasemi kitu hivyuo unavyoleta maada kwa ajili ya kudanganya watu humu jamvini haisaidihi kitu unajidanyganya wewe na viongozi wako waliokutuma kama hamuamini subirini uchaguzi ujao muone kama Sugu atarudi bungeni sisi huku mbeya hatudanganyiki kirahisi rahisi kwa makelele ,fujo,porojo,uchochezi na kejeli dhidi ya serikali ambayo tunaona imetusaidia sana na bado inaendelea kutusaidia yale waliyotuhaidi tunaona wakiyatekeleza kwa vitendo!
Makamu mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa JULIANA SHONZA ameanza kwa kishindo ziara yake Mkoani mbeya moja kwa moja akijikita Vijijini kwa lengo la Kujenga na kuimarisha chama chake.
Ziara yake ilianza jana kwenye kata ya MSIA ambapo katika kata hiyo alifanya mkutano wa hadhara uliokua na mamia ya watu.katika mkutano huo,Juliana Shonza alijikita katika kueleza namna wwananchi wanavyotakiwa kujitokeza kwenye sensa inayoanza agousti 26 mwaka huu,pia alielezea umuhimu wa wanachi kujitokeza katika kutoa maoni ya katiba mpya kwa manufaa ya taifa hili na wananchi wake
Sehemu kubwa pia ya mazungumzo yake kwa wananchi alijikita kwenye umuhimu wa vijana na wanawake kuijiingiza kwenye siasa bila kuogopa mabavu na vitisho toka chama Tawala.Pia alizungumzia namna wanachi wanavyoibiwa zao lao la kahawa na viongozi wa serikali ya ccm pamoja na makampuni binafsi.
Leo Makamu mwenyekiti huyo atakuwa na mkutano wa hadhara katika kata ya ITAKA amabapo anategemea kukutana na wananchi wa kata hiyo.
Katika ziara hiyo makamu mwenyekiti ameshirikiana vyema na viongozi wa jimbo,viongozi wa baraza la vijana mkoa wa mbeya ambao kwa umoja wao wamekuwa wakishirikiana kwa ukaribu katika ziara hii
Ziara hiyo itaendelea kesho kwenye kata ya IYULA na kwa muda wa wiki moja ijayo atajikita kwenye wilaya la MBARALI
Ikumbukwe wazi Makamu mwenyekiti anajitolea kufanya ziara hii,anasisitiza vijana kuendelea kujitolea kwenye ujenzi wa chama.Pia mwenyekiti huyo huyo amepitisha bakuri la kuchangia ziara yake hiyo kwa wadau mbalimbali, wa mkoa wa mbeya na wale wanaokiunga mkono chadema,hatimaye amefanikiwa kuanza ziara hiyo inayoonekana kuwa na mafanikio makubwa kutokana na idadi ya watu wanaohamia chadema na kuomba kadiza chama hicho,Pia wingi wa wafuasi wa chadema kwenye mikutano hii ni wazi kwamba CHADEMA inakubarika mkoani mbeya na vijiji vyake.