Makampuni ya ujenzi wa makazi

Makampuni ya ujenzi wa makazi

Ni pesa za kampuni. Mtu yeyote akiwa na mtaji anaweza kuanzisha kampuni ya ujenzi. Kumbuka wako kibiashara hawalipwi mishahara na serkali kama NHC.
Umejibu bila kufikiri.
Kampuni inazitoa wapi hizo fedha, inaiba?
 
Kwani mitaji ya kampuni inaibiwa mahali?
Good, now you are talking!
Mitaji!
Na si loose observation, ati makampuni yana hela zao.
Sasa expound source ya hiyo mitaji kwa hapa nchini, ndo utazimia.
 
Duh! watu wanafanyia harusi mikopo hapo Bongo wewe uko wapi?
 
Mkuu mtu aliyekopa benki ili akafanyie harusi kimsingi hana busara.
Na hela hiyo ni ya kiwango cha chini kabisa na si ajabu haizidi milioni 10 hadi 20.

Ujenzi wa nyumba kwa mtaji wa mkopo wa benki uuyo mdudu mwingine kabisa!
Ndio maana nimekuvuta sasa tuongee basics za mitaji kutikana na mikopo ya benki.
NHC katika miradi yake ya Morrocco,Kawe na Victoria imekopa mabilioni toka muungano wa mabenki zaidi ya kumi ili kupata mtaji.
Sasa fikiria matatizo ya fiscal policies za mikopo.
Dhamana ya mikopo hiyo ikoje?
Na riba ya mikopo hiyo ikoje?

Upande wa pili, end product kwa customer.
Nyumba moja katika hiyo miradi inauzwa kati ya milioni 250 hadi 350.
Wangapi wanaiweza bei hiyo.
Hata kama unit moja, nyumba ya vyumba 3 utainunua na kuikodisha kwa tshs milioni moja kwa mwezi, itakuchukua zaidi ya miaka 24 kurudisha hiyo hela!

Ndio maana nasema scenario ya US huwezi kulinganisha na mazingira ya bongo.
Ingekuwa rahisi kujenga , hayo makampuni ya US na benki zao waje tu hapa bongo ambapo kuna uhaba mkubwa sana wa nyumba za bei rahisi.
 
Tuko pamoja mkuu. Fuatilia mwanzo wa mada nilisema yangeitwa makampuni ya wawekezaji kutoka nje waje kujenga miji yetu. Hata wakifanya Acacia hawataweza kuondoka na majumba waliyojenga.

Pili umetaja muda wa miaka 24 kuwa ni mwingi. Mikopo ya Marekani asilimia kubwa ni miaka thelathini. Hiyo mikopo ya miaka kumi ya Bongo huko ni kutafutana muhali. Ndio maana baadae watu hawalipi.

Ila mikopo wabongo wamebweda ya mamilioni. Wafanyabiashara wamechukua sana hizi milioni mia mia mpaka mia sita na zaidi.
 
Mkuu safi kabisa naona sasa tupo pamoja.
Kama tumekubaliana kuwa mtaji wa biashara za nyumba za kuishi ni kutokana na mikopo ya benki, hapo ndo kizaa zaa cha biashara yenyewe inapoanza.
Mabenki yetu riba inaanzia 22-25% interest.
(kitu ambacho sidhani kipo huko Marekani na nchi zilizoendelea)

Kwa hiyo ukikpa kwa mathalani milioni 100 ili ujenge nyumba yako, inabidi mwakani ulipe si chini ya milioni 125 kama hujaanza kulipa.
Na naada ya miaka miwili compounded interest itakufikisha deni kuwa miioni 156, sasa fikiria baada ya miaka mitau tu utafikishwa wapi, karibia milioni 200!!!

Ukisoma magazeti ya Tanzania karibu kila siku ni mauzo ya nyumba zilizowekwa dhaana kwa mikopo ya benki zetu.

Kwa hiyo projects za ujenzi wa nyumba nchini kwa mikopo ya benki zetu is dead even before it starts!

Cha maana mkuu tuwe positive thinkers.
Kama huko uliko unajua source of finance kwa miradi ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu, tupe link tu na sisi tutawacontact(mimi mwenyewe niko interested).
Najua riba za Marekani, Ulaya na kwingineko ni manageable na huwa hazizidi 3-4% na hata zikiwa compounded bado ziko manageable.
 
Mkuu suala la real estate ni muhimili wa uchumi wa nchi. Sidhani kama kuna benki ya Marekani itakayotoa mikopo nje ya nchi. Ila nitatafiti hilo suala.

Soko la nyumba lilipoharibika 2008 Marekani iliingia kwenye economic recession. Interest za mikopo ya nyumba zinadhibitiwa na serikali.

Interest za 22% hata kama nchi nzima ina bad credit hazikubaliki. Inawezekana ziko hivyo kwa sababu mikopo ya Tanzania ni ya muda mfupi.

Lakini hilo ni suala la marekebisho tu. Kwa sababu hata hizi interest za 5% kwa miaka 30 mkopaji hulipa pesa nyingi sana za interest. Ila umesema watu wa think positive. Huna hela ya kununua nyumba. Na usitegemee mtu akukopeshe sh 1000 leo halafu miaka 30 ijayo umrudishie 1000 hiyo hiyo utakuwa umemdhulumu sana.

Halafu credit score ni ishu. Wabongo kama hawana credit score kuwapa mikopo ni bongo la kamari. Ndio maana katika posti zangu nalia na tunapoiga tuige vya maana kutoka kwa wenzetu.
 
Back
Top Bottom