pesa kidogo sana hiyo haijengi hata km moja ya lami,km moja ya lami ni zaidi ya bilion moja
Hatimaye umeanza kujitambua kwa kuhoji vitu vya maana Waambie na kina Lizabon ;,motochini na wengine wajitambueNimesoma kwenye blogu ya Michuzi kwamba mgodi wa Buzwagi umeilipa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama shilingi Milioni 700, binafsi siyo mwenyeji wa Kahama na wala sipafamu lkn natambua kwamba hii siyo fedha ndogo, sasa swali ni Je kwa wakazi au watu wanaoifahamu Kahama, kuna mahali hii fedha inaonekana? Kwa maana siyo mara ya kwanza wao kulipwa fedha na mgodi wa Buzwagi, kuna chochote ambacho unaweza kusema ukifika Kahama utaona kwamba hii ni Halmashauri inayopokea Milioni 700 ktk kwa muwekezaji? Ninachomaanisha wanaiwekeza wapi? Ni kwenye Elimu, Miundo mbinu, Maji au hata ustawi wa jamii wa wananchi wa Wilaya ya Kahama?
Ndio maana wazungu hawaishi kuja kushangaa maajabu ya miaka miaka miambili nyuma bado yapo huki kwetu hata shetani naona kuna muda huwa anatushangaa usisahau hii watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifaNimesoma kwenye blogu ya Michuzi kwamba mgodi wa Buzwagi umeilipa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama shilingi Milioni 700, binafsi siyo mwenyeji wa Kahama na wala sipafamu lkn natambua kwamba hii siyo fedha ndogo, sasa swali ni Je kwa wakazi au watu wanaoifahamu Kahama, kuna mahali hii fedha inaonekana? Kwa maana siyo mara ya kwanza wao kulipwa fedha na mgodi wa Buzwagi, kuna chochote ambacho unaweza kusema ukifika Kahama utaona kwamba hii ni Halmashauri inayopokea Milioni 700 ktk kwa muwekezaji? Ninachomaanisha wanaiwekeza wapi? Ni kwenye Elimu, Miundo mbinu, Maji au hata ustawi wa jamii wa wananchi wa Wilaya ya Kahama?
Nyie watu nyie halafu kuna kipindi hawa wachimbaji madini wakubwa hutangaza kupata hasara mara sijui misamaha ya kodi lakini sie wakina kabwela t.r.a tupo nao macho macho hakuna cha msamaha wa kodi wala nini Moyo wangu sukuma damu mengine yaache nisijejifia mapema bure.pesa kidogo sana hiyo haijengi hata km moja ya lami,km moja ya lami ni zaidi ya bilion moja
tusiishie kahama tu tujiulize serikali yetu inapata kiasi ganiNimesoma kwenye blogu ya Michuzi kwamba mgodi wa Buzwagi umeilipa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama shilingi Milioni 700, binafsi siyo mwenyeji wa Kahama na wala sipafamu lkn natambua kwamba hii siyo fedha ndogo, sasa swali ni Je kwa wakazi au watu wanaoifahamu Kahama, kuna mahali hii fedha inaonekana? Kwa maana siyo mara ya kwanza wao kulipwa fedha na mgodi wa Buzwagi, kuna chochote ambacho unaweza kusema ukifika Kahama utaona kwamba hii ni Halmashauri inayopokea Milioni 700 ktk kwa muwekezaji? Ninachomaanisha wanaiwekeza wapi? Ni kwenye Elimu, Miundo mbinu, Maji au hata ustawi wa jamii wa wananchi wa Wilaya ya Kahama?
Machozi yamenibubujika .Kwani hela zilizochangwa kwa ajili ya tetemeko la Kagera zilikuwa ngapi? Zinaonekana ukienda Kagera? The same kapu!
Hizo hela hazilingani hata kidogo na hela alizokwapuwa yule "Nyoka mwenye Makengeza" Kama bakshishi ya udalali wa ununuzi wa Rada. Zaidi ya bilioni mia tatu watu waligawana kama njugu na hakuna walichofanywa. Kivuko cha Dar es salaam ni mfano mwingine kuhusu ufujaji wa fedha zetu, lakini mko kimya.Inaenda kujenga Chato international airport
makampuni ya madini yaonyehse mahesabu yao ijulikane hela sahihi inayopaswa kulipwa,,,wanalipwa hela kidogo sana