Makampuni gani ni ISP(Watoa Huduma za Internet)

Makampuni gani ni ISP(Watoa Huduma za Internet)

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
12,131
Reaction score
8,862
Wadau kwa wanaojua makampuni yanayotoa huduma za intaneti maofisini,kama vile Simbanet,TTCL,Raha naomba kujua mengine ambayo yapo,shukrani
 
Nilipitia site hii www.kicheko.com .Sijui ni kweli au ni magumashi tuu!
 
Mkuu unahusika na kampuni yeyote kati ya ulizozitaja hapo?
 
Back
Top Bottom