Makamo wa Rais wa zamani wa Marekeni pamoja na magenge ya wahuni na wavuta bangi wanataka Tariff man Trump apinduliwe.

Come27

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Messages
5,094
Points
2,000

Come27

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2012
5,094 2,000
Kwanza lugha yako inatia ukakasi Makamo ndo nini? Bibi Pelosi ni Spika ina maana naye ni mvuta bangi? Mmezoea huku kwetu eti Rais haguswi lakini wenzetu hilo halipo. Kumbuka kesi ya Clinton na jinsi Nixon alivyojiuzuru urais? Nahisi wewe ndo unalipuliza hufanyi utafiti na kusoma kumbukumbu kabla ya kupost.
Ishu ya Clinton ya kutoka kimapenzi na Monica Lewisky wengi humu walikuwa hawajazaliwa na wengine walikuwa watoto sana. Hahahhaaha
 

Chamae

Member
Joined
Sep 6, 2019
Messages
9
Points
45

Chamae

Member
Joined Sep 6, 2019
9 45
Trump is a national Security threat for soliciting a foreign power to interfere in the domestic electoral system. Yeye mwenyewe amekubali in public sasa wewe unatetea nini? Ushahidi wa kumuimpeach Trump upo na ndio maana hivi sasa he is busy trying to cover up his telephone transcripts!! If he is innocent why is he stonewalling congress subpoenas?
Duuh
 

SirChief

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Messages
2,591
Points
2,000

SirChief

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2014
2,591 2,000
Trump is a national Security threat for soliciting a foreign power to interfere in the domestic electoral system. Yeye mwenyewe amekubali in public sasa wewe unatetea nini? Ushahidi wa kumuimpeach Trump upo na ndio maana hivi sasa he is busy trying to cover up his telephone transcripts!! If he is innocent why is he stonewalling congress subpoenas?
Amekubali kosa lipi hadharani?,Transcript ilishatoka yote un deducted na wameisoma,na bado hawajaona pa kumkamatia.Hakuna foreign influence mnayodai nyie,ilikuwa ni maongezi ya kawaida sana,tena hadi Attorney General alitajwa.Kama ingekuwa ni blackmail asingeweza muingiza AG hata siku moja,Rais wa Ukraine mwenyewe anashanga,hayo yote Maliberals mnatoa wapi..Trump mnamuongezea umaarufu tu,Trust me.
 

areafiftyone

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Messages
6,066
Points
2,000

areafiftyone

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2017
6,066 2,000
Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Bw. Joe Biden akishirikiana na magenge ya wahuni na wavuta bangi wanatamani Rais mteule Tariff Man Trump apinduliwe kwa hoja za kuokoteza mtaani kutoka kwenye magenge ya wahuni.

Leo Biden kwenye kampeni amejitokeza kwa mara ya kwanza bada ya kujificha kwa Nancy Pelosi kwa muda sasa na kutaka Tariff man Trump apinduliwe eti kisha kuna mhuni mmoja kaokoteza taarifa huko na kumlalamikia Tariff man Trump.
Hebu soma hapa uone.
Biden Says Trump Should Be Impeached https://a.msn.com/r/2/AAIwv37?ym=en-us&referrerID=InAppShare
 

mzalendoalltz

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Messages
618
Points
500

mzalendoalltz

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2015
618 500
Inaelekea wewe huelewi uhuni anaofanya Trump huko marekani na ndio maana unadhani ni mtu wa maana!!!! Sikulaumu kwani hujui siasa za hawa jamaa; marekani hakuna mtu aliye juu ya sheria na hayo ndio yanayomkuta Trump kwa kukiuka katiba wenzie wanataka kumuadabisha!! Huyo unayesema kaokoteza taarifa sio mtu wa barabarani bali ni shushushu aliyebobea na anajua anachokifanya kuwa ni kwa faida ya Taifa lake na wala sio kwa faida ya chama cha siasa!!!.
Hii issue imejaa siasa, huyu shushu alishawahi kufanya kazi na Biden. Kuna jambo nyuma yake, Democratic wnahisi walinyanganywa Kiti cha urais na jinsi Trump alivyo vijineno nya kuwaumiza wanatamani kumtoa kwa sababu mwakani hawatamweza. Kwa sababu zifuatazo
1. Kainua uchumi
2. Ndiye Rais aliyejaribu kuigusa China panapotakiwa
3. Makampuni mengi yanarudi nyumbani ajira zinaongezeka
4. Soko lao lilivamiwa na Mchina sasa wamarikani wana fursa ya kujaza hizo bidhaa wao wenyewe
5 N.k
 

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
3,191
Points
2,000

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
3,191 2,000
Ni uhuni mtupu,hakuna point ya maana kuitumia kama base for impeachment.Yani hadi sasa hakuna hata mmoja aliyeweza ku pin point.Kosa hasa la Trump kisheria na kikatiba ni lipi?..Hata Nancy Pelosi hajui ametangaza Impeachment kwa bases zipi.Huyo unayemuita whistle blower ameshagunduliwa ni Liberal Trump hater and political Bias.Sasa unaposema anaipenda nchi yake sijui una maana gani.
Naona una simplify sana Kama mlivyozoea ku simplify ki CCM, CCM tu, Pole Sana hiyo ni America, Siyo Tanzania kwa majuha
 

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
3,191
Points
2,000

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
3,191 2,000
Huna unachokielewa ambacho mimi sikielewi.

Kwa akili yako mtu akishakua shushushu basi huyo ni exceptional, huwezi kuhoji anachokisema, sio? Akili ndogo kabisa hizi.
Mkuu Hii fani haikuhusu kabisa umeivamia tu, tatizo lako Unadhani Marekani ni Kama Tanzania ya majuha ndo maana unasema ni wavuta bangi, kwa kukusaidia tu ni kwamba, Marekani ni taifa la watu wenye weledi, (akili nyingi mno) wakati Tanzania yako ni taifa la mambumbumbu ya kutupwa.
Nadhani wewe uko CCM, chama cha majuha, kazi yenu ni kumsifia malaika wa Chato ndo maana unashangaa kuona Trump anakuwa impeached, Siyo kupinduliwa, nikupe pole, umevamia fani za watu
 

mzalendoalltz

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Messages
618
Points
500

mzalendoalltz

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2015
618 500
Mkuu Hii fani haikuhusu kabisa umeivamia tu, tatizo lako Unadhani Marekani ni Kama Tanzania ya majuha ndo maana unasema ni wavuta bangi, kwa kukusaidia tu ni kwamba, Marekani ni taifa la watu wenye weledi, (akili nyingi mno) wakati Tanzania yako ni taifa la mambumbumbu ya kutupwa.
Nadhani wewe uko CCM, chama cha majuha, kazi yenu ni kumsifia malaika wa Chato ndo maana unashangaa kuona Trump anakuwa impeached, Siyo kupinduliwa, nikupe pole, umevamia fani za watu
Acha vijineno kama Trump, leta hoja iliyoshiba
 

Forum statistics

Threads 1,343,516
Members 515,078
Posts 32,787,263
Top