DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), amesema kuwa hana ufahamu wa chanzo cha matukio ya Oktoba 29, lakini ni kweli kuwa kulikuwa na watu waliokuwa wakitembea na mabegi ya mgongoni yaliyojaa mabomu ya petroli yaliyotumika kuchoma magari.
Ameeleza kuwa hadi sasa bado kuna baadhi ya magari yaliyoteketezwa ambayo hayajasogezwa, na taarifa hizo zinatokana na maelezo ya mashuhuda wa matukio hayo.
Ameeleza kuwa hadi sasa bado kuna baadhi ya magari yaliyoteketezwa ambayo hayajasogezwa, na taarifa hizo zinatokana na maelezo ya mashuhuda wa matukio hayo.