Elections 2010 Makame anataka kujiuzulu kwa aibu!

Kujiuzulu tu hakusaidii wala hakuta solve matatizo ya watanzania atuambie sababu ya kujiuzulu ili tujue tulipokosea tuparekebishe.
 
If he is a credible Judge, then he should exercise his right by being accountable. He should resign and on resignation indicate all the flaws existing in the Commission so that can be worked on. He should clearly indicate that with the current set up it is impossible for NEC to work so independently as required. All the squanders that happened it is because the system do not have alternative mitigative control. They should also have accepted the UNDP offer for computerising the elections processes. As it is now, we can blame Makame but whoever is there, even if it is Slaa himself he has nothing to do as the returning officers are employees of the govt and specifically local and central govt and they take instructions from the incumbents to avoid spoiling their future due to retaliations!!!!! We need a new NEC which is independent of the ruling regime!!!!!
 
Hawezi kujiuzulu ameisha sema, hata mlie machozi ya damu mpaka muda wake kisheria uishe na naisikia ni 2016 , ambapo uchaguzi wa 2015 atakuwepo tena tume ya uchaguzi

Umri wa 70 plus hata sheria ya makampuni inakataza kuwa wakurugenzi, huyu hajafikisha?
 
Kuhusu kujiuzulu sahau kabisa,tetesi zinasema atakuwepo kwenye usukani huo hadi 2025,
 
Hawezi kujiuzulu ameisha sema, hata mlie machozi ya damu mpaka muda wake kisheria uishe na naisikia ni 2016 , ambapo uchaguzi wa 2015 atakuwepo tena tume ya uchaguzi

LAbda kama wewe ni pepo, jini na sio mzalendo wa nchi hii. HAli ya Watanzania ni choka mbaya unaleta utani. :nono:
 
Hawezi kujiuzulu ameisha sema, hata mlie machozi ya damu mpaka muda wake kisheria uishe na naisikia ni 2016 , ambapo uchaguzi wa 2015 atakuwepo tena tume ya uchaguzi
Kwa dhambi alizofanya lazima afe kabla ya 2015.Mshahara was dhambi ni mauti.Aende huko depth of hell aungue milele he doesnt deserve to live.Washindanao na Bwana watapondwa kabisa, evil doers shall be cut off from the face of the earth asema bwana wa majeshi.Badala atubu na kumpokea Bwana ukizingatia hata miaka mitano hana anajitengenezea hukumu ya kutisha
 
Mzee makame kwa nini hakujifunza yale ya Kivuitu wa kenya? Tena humuhumu JF watu walianza kuandika mapema kabisa kumtahadharisha yeye na tume nzima. Kama aliona mambo ya uhuni wa ccm asingeyaweza, kwa nini hakujiudhuru mapema? Kujiuzuru sasa haitatusaidia kwa sababu kitendo alichokifanya tayari kimeumiza watu wengi na - tuseme - taifa zima. Atawezaje kuponya vidonda vya watanzania wanaonung'unika na kulia. Hakika atakufa kifo cha aibu. Kitendo hiki kitaisumbua sana nafsi yake.

Weeeeeeeeeeeeeeeee tulia acha ubazazi wako, ww wajua sheria kuzidi jaji Makame ? Ww ndio utakufa kifo kibaya sana !!!! kama machungu nenda kabembelezwe na mkeo , sio humu JF
 
Tunaomba Bwana wa Majeshi uwaadhibu na kuwaumbua NEC. Mungu tusaidie watanzania tunaonyonywa,tunaoonewa, tunaokandamizwa,tunaochunwa ngozi na kuzikwa tukiwa hai. Amen
 
Hakika ni vigumu kuzipinga tuhuma za Slaa -- kuna dosari nyingi mno, tena za wazi wazi. Hawezi kuzipatia maelezo moja moja, labda ajikinge tu kwa kusema ni typing error, au akiri bayana kwamba amepotoshwa na wasimamizi wake vituoni.

By the way, hawa anaodai ni wasimamizi wake -- ni kweli ana mamlaka nao -- yaani Tume yake ndiyo iliwateua? Hawa ma-DED si wateule wa Mwenyekiti wa chama tawala -- CCM -- kwa nini Tume inataka kutufanya Watanzania mafala?

That is exactly the point, too much irregularity, which are very difficult to be classified as 'chances/random' 'coz they prefferentially targeted chadema! Can you imagine!!!!:A S angry::A S angry::A S angry:
 
Hawezi kujiuzulu ameisha sema, hata mlie machozi ya damu mpaka muda wake kisheria uishe na naisikia ni 2016 , ambapo uchaguzi wa 2015 atakuwepo tena tume ya uchaguzi

Wewe umejiunga jana hapa lakini nayashangaa sana matamko yako. Wewe ndiye msemaji wa tume ya uchaguzi hapa jamvini? Jitambulishe rasmi basi tukujue!!!! Otherwise, I am very much worried with your thinking capacity!!!!

Tiba
 
Nasikia Makame anataka kujiuzulu kwa aibu, baada ya kubaini alipotoshwa na UWT -- ila tu baadhi ya makamishna wazee wengine wanamsihi abakie madarakani hadi zoezi la kutanbgaza matokeo liilshe. Bila shaka anaanza kutubu kwa madhambi aliyowafanyia Watz.

Naye Kiravu tangu ashinikize kutangazwa kwa matokeo ya Segerea amekuwa haonekani katika vikao kadha vya Tuyme na taarifa zinasema anasumbuliwa na sukari.
:nono: kilichobaki ni kuwamaliza tu kwa kuwagonga na magari, au kuwachoma ndani ya nyumba zao au kuanzisha al shaabab ya bongo, maana tushachoka usawa huu, wanadhani wao ni miungu waliopewa kuitawala bongo milele? ngoja tuone
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom