kuna siri kubwa hapa mkuu polisi wenyewe ndo wanavunja sheria utagemea niniPicha inaonesha gari ni RHD na limepindukia kushoto upande wa siti ya abiria. Huenda dereva hakufunga mkanda hivyo alirushwa nje ya gari na mauti yakamkuta huko
unawatetea kwa sababu ndo unapata ulaji huko hakuna watu nawachukia kama polisikwa hiyo mali zunazolindwa ni za ccm? raia wote mnalindwa ni wana ccm? mabenki yote yanayolindwa ni wana ccm?mbowe katika msiba wa chacha wangwe wakati analindwa na polisi pale tarime alikuwa mwana ccm?
ukiona mtu anachuki na polisi ujue ni mhalifu
hapa watakuwa wamezdiana kete wakaamua kumpotezea mbali mimi sina imani wala sitakuja kuwa na imani na jeshi la polisi mkuu nikikumbuka yule jambazi wa arusha walivyomuua wakasema alikuwa anajaribu kutoka polisi chini ya ulinzi mkali napoteza kabisa imani nao.Alijua siri fulani wenzake wametumwa kumclean. Tetete polisi wa ccm hawaaminiki hata kidogo
Onyesha uungwana japo kidogo wakati roho inatwaliwa na Mwenyezi Mungu.wafe wafe wafe wapigwe wapigwe
wapinduke wafe wapinduke wafe
wafe wafe wafe wapigwe wapigwe
wapinduke wafe wapinduke wafe
Nani kakudanganya kuwa polisi wanalinda raia? Tembea uone polisi haohao wanatesa na kuua raia.Unachoshindwa kujua kuwa police ni kazi km kazi zingne, tena kazi ya wito so naumia mjinga mjinga anavowadic police, natamani hata kumtoa kende. Mtu analindwa yy na mali zake then he/she speak waste.
mkuu, unazungumzia mali zipi za raia? mali zote zipo kwa Chenge, Ngeleja na Tibaijuka ndo hizo zinalindwa na hao polisi!kwa hiyo mali zunazolindwa ni za ccm? raia wote mnalindwa ni wana ccm? mabenki yote yanayolindwa ni wana ccm?mbowe katika msiba wa chacha wangwe wakati analindwa na polisi pale tarime alikuwa mwana ccm?
ukiona mtu anachuki na polisi ujue ni mhalifu
Pole sana kwa wafiwa, na JESHI la polisi kwa ujumla!
Unachoshindwa kujua kuwa police ni kazi km kazi zingne, tena kazi ya wito so naumia mjinga mjinga anavowadic police, natamani hata kumtoa kende. Mtu analindwa yy na mali zake then he/she speak waste.
Mkuu hapa kinacholalamikiwa ni watawala kuitumia polisi kwa manufaa binafsi,Nasubiri siku wakiwa wanatekeleza kazi kwa maelekezo ya serikali ya UKAWA kama mtatawala ndio nione comments zenu wanapopatwa na vifo, sijui mtasemaje.!
Nando;
Natamani ningekuwa karibu nkakutandika kofi. Kazi ya polisi ilikuwa na wito zamani sio leo. Polissm si wa kutetewa hata kwa mti mrefu. Sifurahii mauti au hata kupatwa janga lakini haya manjagu ya ccm yamezidiiiiiiii. Uonevu kila kona, ubabaishaji kiila kona, wezi wa haki za raia. Poleni wafiwa na poleni walio umia. Ila mleta hoja tuambieni kwamba walikuwa wamebeba nini???
Poleni wafiwa.Muwe na subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wenu.Gari la Polisi limepinduka leo Makambako. Mmoja amepoteza maisha ambaye ni dereva.