Hii ni kali katika kile kinachodhaniwa kuwa ni mfano bora kwa wanasiasa wa Tanzania kuwapa tuzo ili kuongeza ufanisi basi hili siihivyo bali nimegundulika kuwa ni jambo la kuundwa tu tena fasta fasta kama vijana wa mjini wasemavyo, chanzo cha habari hii kime thibitisha kuwa tuzo waliopewa MH Makamba January na Mh Prof. Muhongo ni za uongoz kwani ni tuzo amabayo kwanza Watoa tuzo waiiba WAZO toka Kwa taasisi itwayo Habari development associationililokuwapo kataka lugha ya kingereza yenye title "TANZANIA POLITIACIAN OFTHE YEAR AWARD 2014" waliifluence wenyewe kwakuwaweka sawa hao watoa tuzo huku wakidhiti Push mobile ukizingatia ukaribu alionao mh makamba huku Muhongo akitumia ukaribu wake na Homeboys akina Malegesi wate wawili yani mmoja toka katika kampuni husika yani Tanzania Awards International iliyosajiliwa mwaka jana na ofisi zake zikiwa pale maeneo ya Victoria, makumbusho, Taarifa ya undanganyifu huo unathibitishwa na copy ya magazeti yafuatayo yalioandikwa january mwaka huu, The citizen na Tanzania Daima huku yakieleza mchakato mzima utakvyotelezwa, chakushanga jamaa wakaja march2015 wakatangaza tena chichini na kwa mda mfupi tu april 13 watoa tuzo tena sio live nahata vyomba vyahabari vyenye hadhi na kuaminika vikiwa havina taarifa juu ya tukio hilo ambalo kimsingi ni chachu kwa wanasiasa, kutafsiriwa kwa WAZO hasa kumejikita katika vipengele viwili tu ,na wao wakaweka kiswahili jamaa wametoa hadi copy right iliyosajiliwa kwa jina binafsi la mmoja ya watu wanaouunda Taasisis ya HDA, Nilibahatika kupata copy hizo na namba ya sim ya mwandishi wa idea +255713586614 akisema wahisika waliocopy wazo hawana maelezo ya kina hasa jinsi ilivyotekelezwa idea ukianza na mchakato, matokea washindi walishinda kwa kura ngapi dhidi ya walioshindanishwa, na kwanini ilikuwa in door na recorded sio live, " kilichofanyika ni uswahiba yaani malegesi muhungo plusi malegesi muhariri wa gazeti la Mtanzania Homeboy kuandika habari ya kumpa nafasi ya kisiasa maana prof kashaonje Tam ya hela ya siasa na wala hana umaarufu wakuwa mwanasiasa bora, see attachement