Che Guevara
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 1,236
- 350
naona inabidi nirushe ile scud ya mwisho kabisa kuwachanganya hawa watu..
Loh Mwanakijiji, we are already salivating!
Anyway, January Makamba amepewa hiyo post kwa makusudi kabisa ili kupigia debe mipango ya mafisadi RA, JK, EL na wapambe wao akina Mzee Makamba, Ngeleja etc ya kuendelea kuinyonya kabisa nchi yetu.
Vichwa vya panzi kabisa hawa. Wangekuwa wakweli wangenunua mitambo ya kufua umeme ikawa mali ya Tanesco/Serikali, siyo hiyo yao binafsi. Nchi ingeokoa bilioni 4 na nusu za usanii wa capacity charge kila mwezi. Aaaarghhh...