Makamba achaguliwa kuwa Katibu mkuu CCM

Nawakumbusha tu kwamba, Chadema ni chama pekee cha upinzani ambacho kimefanya mabadiliko ya uongozi wa juu wa chama mara tatu tangu kiliposajiliwa mwaka '92! Kilianza na Edwin Mtei (m/kiti) na Bob Makani (katibu), halafu Bob Makani (m/kiti), na Kaburu (katibu). Sasa ni Mbowe na Dr Slaa. Mabadiliko waliofanya ccm ni kitu cha kawaida tu kwa chadema! Kuhusu Makamba kuchaguliwa tena mimi kama mwanachama wa upinzani nimefurahi. Anasaidia kuiporomosha ccm kwa kuwaonesha wananchi the true colour of what ccm is! Hii itasaidia upinzani kuimarika.
 
katibu mkuu wa kwanza wa sisiem aliyekiingiza chama katika uchaguzi na kupoteza viti vingi kuliko wote na pia chama kunusurika kutolewa madarakani kwa kupata ushindi shirikishi wa NEC
 
Makamba amebeba unabii unaotuonesha siku za mwisho wa utwala dhalimu wa ccm! Kuchaguliwa kwake tena kunafanyika ili neno litimie. Kiburi na majibu yake ni mlolongo wa matukio ya kifarao na pigo la kwanza ilikuwa ni uchaguzi uliopita. Pigo la pili ni tatizo la umeme na pigo la tatu ni mfumko wa bei za vitu! Hii yote ni dalili za anguko kubwa linalokuja kwa ccm ikiwa mikononi mwa Makamba na JK! Ndio maana nampenda sana huyu mzee. Hata ukimsikiliza "utafurahi!"
 
WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM

Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Yussuf R. Makamba
.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara)
Ndugu Jaka Mwambi
.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar)
Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz
.
Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa
Ndugu Rostam Aziz
.
Katibu wa Organaizesheni wa CCM Taifa
Ndugu Kidawa Hamid
.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa
Ndugu Aggrey Mwanri.

Katibu wa ISiasa na Uhusiano wa Kimataifa wa CCM Taifa
Dr. Asha Rose Migiro.[/QUOTEya kale ni dhahabu
:car:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom