MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,092 Reaction score 7,236 Jul 2, 2015 #41 Watawatuma vijana wa kazi...coz wao ni wakubwa wa kazi.
hazole1 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 4,319 Reaction score 3,919 Jul 2, 2015 #42 ukitaka kumjua mtu jinsi akili yake ilivyo kwanza muangalia muonekano wake hao wanajeshi inaonyesha ni wazembe kupindukia waangalie walivyo kama. wanaenda kudaka kumbikumbi.
ukitaka kumjua mtu jinsi akili yake ilivyo kwanza muangalia muonekano wake hao wanajeshi inaonyesha ni wazembe kupindukia waangalie walivyo kama. wanaenda kudaka kumbikumbi.