Makamanda wa Ukawa - Acheni ukosoaji wa wazi. Hali si shwari

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,121
2,064
Ni tahadhari tu kutokana na yanayoendelea nchini. Ben + Lema + Max na yanayoendelea Znz iwe mifano hai kwenu. wanataka kusikia positive side tu. Na Mimi najipa moyo kwa sababu taarifa zangu kwenye JF wamenihakikishia kuzificha wasinifaham. Take care makamanda we still need you. Hii nchi sasahivi ni ya makada tu. believe me or not kama wewe sio kada unaangaliwa kwa jicho tofauti.
 
Ukikosoa kwa hoja bila matusi nadhani hakuna tatizo. Yule shekhe aliyekuwa anaongelea suala la Waislamu kutengwa katika teuzi za serikali alikuwa anatoa data mpaka anaeleweka. Mtu kama huyu anayehoji kwa ukweli na vithibitisho ana tatizo gani? Shida ya wengi wenu ni ushabiki uliopitiliza kimo na matusi. Kutukana na kubeza kila kitu tena bila uhakika wa uthibitisho wo wote ndiyo demokrasia?

Waafrika tukumbuke kuwa demokrasia hii tunayolazimishwa kuifuata hatujaielewa sawasawa na haina mizizi katika historia na tamaduni zetu. Na kama wenzetu huko Marekani wanaweza kumtukana rais wao na kumwita kila aina ya majina, sidhani kama nasi tunapaswa kufanya hivyo kisa tu Wamarekani wanafanya hivyo. Migongano hii tunayoiona katika tafsiri mbalimbali za demokrasia duniani inatokana na dunia nzima kulazimishwa kufuata demokrasia moja tu ya Kimagharibi wakati mila, historia na tamaduni zetu ni tofauti. Ndiyo maana demokrasia hii imeleta maafa mengi duniani hasa ilikopandikizwa kwa nguvu bila kuzingatia historia, matakwa na tamaduni za watu (Mf. Iraq, Libya na kwingineko). Ndiyo maana sauti zinapazwa sasa kwamba pengine kila bara na hata nchi moja moja ziamue ni aina gani ya demokrasia zinataka kuifuata. Ati, kama wananchi wa Swaziland wanaridhika na mfalme Mswati wao, Mmarekani ni nani kuja kuwakoromea kuwa hawana demokrasia?

Mimi nasema ukosoaji wa wazi uendelee lakini uwe ni ukosoaji uliosimama katika hoja, wenye heshima na unaozingatia ukweli. Kamwe kutukana na kubeza tu tena wakati mwingine kwa ishu ya uwongo siyo kipimo cha demokrasia. Hayo mambo tuwaachie Wamarekani.
 
Mkuu , achana na BAVICHA, sidhani hata kuna mtu anaweza kuhangaika na matusi yao, wanapotezana wenyewe kwa wenyewe
 
Ni tahadhari tu kutokana na yanayoendelea nchini. Ben + Lema + Max na yanayoendelea Znz iwe mifano hai kwenu. wanataka kusikia positive side tu. Na Mimi najipa moyo kwa sababu taarifa zangu kwenye JF wamenihakikishia kuzificha wasinifaham. Take care makamanda we still need you. Hii nchi sasahivi ni ya makada tu. believe me or not kama wewe sio kada unaangaliwa kwa jicho tofauti.
Acheni kutapatapa, Nani ahangaike na ujinga wenu? watahadharishe wanaompinga Mwenyekiti wenu asiyetaka changamoto la sivyo atawamaliza.
 
Kama unaandika vitu vya kweli wala usiwe na hofu ila kama kazi yako ni kuandika uzushi mitandaoni awamu hii siyo yako. Hamia Rwanda, Burundi, Kenya, na kadhalika.
 
Ukikosoa kwa hoja bila matusi nadhani hakuna tatizo. Yule shekhe aliyekuwa anaongelea suala la Waislamu kutengwa katika teuzi za serikali alikuwa anatoa data mpaka anaeleweka. Mtu kama huyu anayehoji kwa ukweli na vithibitisho ana tatizo gani? Shida ya wengi wenu ni ushabiki uliopitiliza kimo na matusi. Kutukana na kubeza kila kitu tena bila uhakika wa uthibitisho wo wote ndiyo demokrasia?

Waafrika tukumbuke kuwa demokrasia hii tunayolazimishwa kuifuata hatujaielewa sawasawa na haina mizizi katika historia na tamaduni zetu. Na kama wenzetu huko Marekani wanaweza kumtukana rais wao na kumwita kila aina ya majina, sidhani kama nasi tunapaswa kufanya hivyo kisa tu Wamarekani wanafanya hivyo. Migongano hii tunayoiona katika tafsiri mbalimbali za demokrasia duniani inatokana na dunia nzima kulazimishwa kufuata demokrasia moja tu ya Kimagharibi wakati mila, historia na tamaduni zetu ni tofauti. Ndiyo maana demokrasia hii imeleta maafa mengi duniani hasa ilikopandikizwa kwa nguvu bila kuzingatia historia, matakwa na tamaduni za watu (Mf. Iraq, Libya na kwingineko). Ndiyo maana sauti zinapazwa sasa kwamba pengine kila bara na hata nchi moja moja ziamue ni aina gani ya demokrasia zinataka kuifuata. Ati, kama wananchi wa Swaziland wanaridhika na mfalme Mswati wao, Mmarekani ni nani kuja kuwakoromea kuwa hawana demokrasia?

Mimi nasema ukosoaji wa wazi uendelee lakini uwe ni ukosoaji uliosimama katika hoja, wenye heshima na unaozingatia ukweli. Kamwe kutukana na kubeza tu tena wakati mwingine kwa ishu ya uwongo siyo kipimo cha demokrasia. Hayo mambo tuwaachie Wamarekani.
Ni kweli kabisa ukosoaji unaleta maendeleo ni muhimu sana nchi hasa hizi changa kwa mfano kashfa nyingi nchini zimeibuliwa na upinzani hongera kwa Dr slaa Zitto Kafulila na wengine lkn ukosoaji wa kutukana kashfa kejeli kuchafuana kwa makusudi hakukubaliki. Wanaofanya hivyo wafungwe tu kwa mujibu wa sheria hakuna namna nyingine watanzania ni wamoja tofauti ya itikadi isitugawe kuelekea kwenye uhasama na chuki. Funga woteee.
 
Ukikosoa kwa hoja bila matusi nadhani hakuna tatizo. Yule shekhe aliyekuwa anaongelea suala la Waislamu kutengwa katika teuzi za serikali alikuwa anatoa data mpaka anaeleweka. Mtu kama huyu anayehoji kwa ukweli na vithibitisho ana tatizo gani? Shida ya wengi wenu ni ushabiki uliopitiliza kimo na matusi. Kutukana na kubeza kila kitu tena bila uhakika wa uthibitisho wo wote ndiyo demokrasia?

Waafrika tukumbuke kuwa demokrasia hii tunayolazimishwa kuifuata hatujaielewa sawasawa na haina mizizi katika historia na tamaduni zetu. Na kama wenzetu huko Marekani wanaweza kumtukana rais wao na kumwita kila aina ya majina, sidhani kama nasi tunapaswa kufanya hivyo kisa tu Wamarekani wanafanya hivyo. Migongano hii tunayoiona katika tafsiri mbalimbali za demokrasia duniani inatokana na dunia nzima kulazimishwa kufuata demokrasia moja tu ya Kimagharibi wakati mila, historia na tamaduni zetu ni tofauti. Ndiyo maana demokrasia hii imeleta maafa mengi duniani hasa ilikopandikizwa kwa nguvu bila kuzingatia historia, matakwa na tamaduni za watu (Mf. Iraq, Libya na kwingineko). Ndiyo maana sauti zinapazwa sasa kwamba pengine kila bara na hata nchi moja moja ziamue ni aina gani ya demokrasia zinataka kuifuata. Ati, kama wananchi wa Swaziland wanaridhika na mfalme Mswati wao, Mmarekani ni nani kuja kuwakoromea kuwa hawana demokrasia?

Mimi nasema ukosoaji wa wazi uendelee lakini uwe ni ukosoaji uliosimama katika hoja, wenye heshima na unaozingatia ukweli. Kamwe kutukana na kubeza tu tena wakati mwingine kwa ishu ya uwongo siyo kipimo cha demokrasia. Hayo mambo tuwaachie Wamarekani.

Mkuu heshima kwako.
Sio kila mtu analokosoa lazima liwe na data mengine hayahitaji data ila kila aliye na macho anaona, mfano watoto wanakaa chini shuleni, na hakuna vyumba vya kusomea mvua ikinyesha shule hufungwa, hospitali hazina madawa, idadi ya waathirika wa unga kuwa kubwa, hivyo ni baadhi ya vingi ambavyo kila mtu anapambana navyo kila siku na ndio matatizo yetu ya kila siku...

Demokrasia tuitakayo ni Ile ambayo itanufaisha kila mtanzania kwa maana ya kizazi na kizazi na sio demokrasia yenye faida kwa jamii fulani pekee. Mwisho wa siku taifa letu linahitaji maendeleo maana lina kila sababu ya kuendelea, amani ipo, watu zaidi ya 45mil wapo sasa kwanini hatuendelei mpaka sasa tuna miaka55 ya uhuru?
 
Kwa hiyo hata akikosoa kwa hasira na kejeli hata na kebehi ndio mpaka uahibiwe kwa kutiwa kwenye magunia na kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki!
 
sawa kabuisa Mkuu!
 
Kwa hiyo hata akikosoa kwa hasira na kejeli hata na kebehi ndio mpaka uahibiwe kwa kutiwa kwenye magunia na kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki!
Umeanza. Una uhakika kuwa hao waliotiwa kwenye magunia na kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki walikosoa kwa hasira na kejeli? Unaweza kulithibitisha hili ukipelekwa mahakamani? Tatizo la wengi tumegubikwa na ushabiki wa kisiasa na kufuata mambo kirahisi rahisi tu bila kufikiri kwa kina sisi wenyewe kwa akili na utashi wetu. Hapa ndipo tatizo letu linapoanzia.
 
Mkuu heshima kwako.
Sio kila mtu analokosoa lazima liwe na data mengine hayahitaji data ila kila aliye na macho anaona, mfano watoto wanakaa chini shuleni, na hakuna vyumba vya kusomea mvua ikinyesha shule hufungwa, hospitali hazina madawa, idadi ya waathirika wa unga kuwa kubwa, hivyo ni baadhi ya vingi ambavyo kila mtu anapambana navyo kila siku na ndio matatizo yetu ya kila siku...

Demokrasia tuitakayo ni Ile ambayo itanufaisha kila mtanzania kwa maana ya kizazi na kizazi na sio demokrasia yenye faida kwa jamii fulani pekee. Mwisho wa siku taifa letu linahitaji maendeleo maana lina kila sababu ya kuendelea, amani ipo, watu zaidi ya 45mil wapo sasa kwanini hatuendelei mpaka sasa tuna miaka55 ya uhuru?
Umeongea mambo ya maana sana mkuu. Demokrasia yenye kutuletea maendeleo ya kweli ndiyo hiyo tunayoitaka. Na tunaweza kuidai demokrasia hii na kuipigania mpaka tukaipata. Sina uhakika kama tunaweza kuipata kupitia matusi, dharau na kejeli. Hata Wamarekani tunaojaribu kuwaiga kuna lugha ambayo huwezi kuitumia hadharani kwani unajua kuwa unaweza kufukuzwa kazi. Uhuru wa kutoa maoni upo kwenye katiba yao lakini uhuru huo haukusaidii sana kama ukisemacho kitaleta madhara kwa mwajiri wako au jamii kwa ujumla. Hakuna uhuru usio na kikomo ati!
 
Ukimya haujengi.
Kwenye kosa kosoa kistaarabu na ikibidi sema nini kifanyike.
Kwenye mafanikio toa pongezi na wape moyo.
Nchi haiwezi kwenda kwa kususa.
 
Back
Top Bottom