Makamanda wa mkoa wa Ruvuma,zingatieni haya.

Makamanda wa mkoa wa Ruvuma,zingatieni haya.

MussaBubu

Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
20
Reaction score
4
Wenye nia ya kugombea ubunge kupitia CHADEMA ktk majimbo ya mkoa wa Ruvuma,huu ndio wakati wa kujenga chama.Msije mkakumbuka shuka wakati kumekucha na hivyo kupelekea mkoa wetu kuwa wa mwisho kwa kimaendeleo kila siku,
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom