Huyu jamaa ndio kinara wa fake news humu JF na sielewi kwanini hajawahi pigwa ban.Huyu habari zake ni uongo uongo sana msimuamini
View attachment 3564225View attachment 3564226
Mzee wa watu alijifia zake nyumbani kwake lkn mlokole huyu alishajua mpango wa Dharura wa IranView attachment 3564227
Waandishi wa habari watatu NI KWELI wameuwawa huko Lebanon kwa ndege vita za Israel zilizowalenga kwa makusudi kabisa. Hivyo hii taarifa yako inapotosha kabisaMakamanda wanne wa IRGC wauwawa huko Lebanon walijifanya waandishi wa habari kumbe ni magaidi kutoka Iran. Walikuwa huko kuwasaidia magaidi wa Hezboullah
Mkuu weka hesabu sawa, wanne au sita?Makamanda wanne wa IRGC wauwawa huko Lebanon walijifanya waandishi wa habari kumbe ni magaidi kutoka Iran. Walikuwa huko kuwasaidia magaidi wa Hezboullah
Wewe ndigili uatachanganyikiwa muda sio mrefu 😂Makamanda wanne wa IRGC wauwawa huko Lebanon walijifanya waandishi wa habari kumbe ni magaidi kutoka Iran. Walikuwa huko kuwasaidia magaidi wa Hezboullah
Oyaa mteule anawanyima usingizi. Ni mwendo wakuwaua tu hata mnayemuabudu anawaogopa wayahudi wakati anadai kawaumba.Kuna choko kaposti halafu kakimbia na posti yake
Acha maumivu weweeWaandishi wa habari watatu NI KWELI wameuwawa huko Lebanon kwa ndege vita za Israel zilizowalenga kwa makusudi kabisa. Hivyo hii taarifa yako inapotosha kabisa
unfurl="true"]https://www.cnn.com/2026/03/28/middleeast/lebanese-journalists-killed-israel-hezbollah-latam-intl[/URL]
JamiiForums
Huyu mtu ana misinformation nyingi sana, inatakiwa mchukue hatua it's too much
Nilitupa jiwe gizani, limekupata ?Oyaa mteule anawanyima usingizi. Ni mwendo wakuwaua tu hata mnayemuabudu anawaogopa wayahudi wakati anadai kawaumba.
adriz de mbusii
We msafisha vyoo uwe unasoma kwanza uelewe wapi walikuwa vitani? Ushahidi wako uko wapi hao inawezekana kweli wako kwenye embassy kule Lebanon kutokana na hizo picture zimeandikwa hao sita wako Embassy sabsbu kwenye embassy yoyote dunia ya nchi kuna kuwa na sehemu ya military staff na Israel alidai atashambulia Embassy na Iran alisha muambia akigusa Embassy na yeye ajitayarishe kupokea kipigo cha hivyo hivyoMakamanda wanne wa IRGC wauwawa huko Lebanon walijifanya waandishi wa habari kumbe ni magaidi kutoka Iran. Walikuwa huko kuwasaidia magaidi wa Hezboullah
Hahahahahaaaaa inakuuma Allah na mudi kubondwq😆😅🤣😂We msafisha vyoo uwe unasoma kwanza uelewe wapi walikuwa vitani? Ushahidi wako uko wapi hao inawezekana kweli wako kwenye embassy kule Lebanon kutokana na hizo picture zimeandikwa hao sita wako Embassy sabsbu kwenye embassy yoyote dunia ya nchi kuna kuwa na sehemu ya military staff na Israel alidai atashambulia Embassy na Iran alisha muambia akigusa Embassy na yeye ajitayarishe kupokea kipigo cha hivyo hivyo
We tatizo lako umaleta sana propoganda za Israel humu.
Hawa waliuliwa kama waandishi wa habari baadaye Iran ikatoa matangazo na picha zao kumbe walikuwa Makamanda wa IRGC!! safari mtanyooka tu maana hakuna namna nyingine!!We msafisha vyoo uwe unasoma kwanza uelewe wapi walikuwa vitani? Ushahidi wako uko wapi hao inawezekana kweli wako kwenye embassy kule Lebanon kutokana na hizo picture zimeandikwa hao sita wako Embassy sabsbu kwenye embassy yoyote dunia ya nchi kuna kuwa na sehemu ya military staff na Israel alidai atashambulia Embassy na Iran alisha muambia akigusa Embassy na yeye ajitayarishe kupokea kipigo cha hivyo hivyo
We tatizo lako umaleta sana propoganda za Israel humu.
Kenge wewe acha uzushi mlio uwa ni mwanamke na wenzake tena wamemlenga maksudi kabisa yeye na wenzake walikuwa live wanarusha habariHawa waliuliwa kama waandishi wa habari baadaye Iran ikatoa matangazo na picha zao kumbe walikuwa Makamanda wa IRGC!! safari mtanyooka tu maana hakuna namna nyingine!!
Kenge wewe acha uzushi mlio uwa ni mwanamke na wenzake tena wamemlenga maksudi kabisa yeye na wenzake walikuwa live wanarusha habari
View: https://youtu.be/G6-E53jZU2I?si=KhXBGWuJatBwKE0t
View: https://youtu.be/sDIkON1_hQk?si=1WstF4xTjpPPt0J3
Hahaha wewe umeisha changanyikiwa nenda kawasaidia Wayahudi 210,000 inasemekana wako hatarini kukata roho kwenye sehemu zilizo pigwa na Iran leo haswa zile chemical factorsHata huyo Malaya hakuwa mwand8shi wa habari huyo ni gaidi kama magaidi wengine kajificha kwenye Joho la uandishi wa habari bahati nzuri kajulikana ndiyo hivyo tena kauwawa!!
Sasa tujulishe huyo kwa sababu ni mwanamke atapata nini? Maana kwa mwanaume mnadanganyana atapewa mabikira 72 kutuaminisha kuwa akili za Wafuga midevu na majini zinawaza NGONO tu!!
Kenge wewe acha uzushi mlio uwa ni mwanamke na wenzake tena wamemlenga maksudi kabisa yeye na wenzake walikuwa live wanarusha habari
View: https://youtu.be/G6-E53jZU2I?si=KhXBGWuJatBwKE0t
View: https://youtu.be/sDIkON1_hQk?si=1WstF4xTjpPPt0J3
Wewe kwa nini hupigwi Ban kwa fake news unazotuletea humu? Au kwa sababu unajuana mods?Huyu jamaa ndio kinara wa fake news humu JF na sielewi kwanini hajawahi pigwa ban.
Unaweza thibitisha hili? Post zangu zipo wazi itafute niliyosema hayo. Usinilishe maneno bwana mdogo.Ulituaminisha Netanyahu kafa kwani ulichukuliwa hatua gani?
Sijuni na mod yoyote, huwa post zangu naweka reference niambie lini nimefanya mjadala nikaweka fake news hapa?Wewe kwa nini hupigwi Ban kwa fake news unazotuletea humu? Au kwa sababu unajuana mods?