jambo wakuu,, nimekuwa ni kifuatilia mikutano ya chadema inayo endelea mara nyingi katika kuhamasisha na huwa wanaitana makamanda swali langu ni hili hawa ni makamanda wa jeshi gani????
Makamanda wa kuwadanganya wananchi wao au wafuasi wao walete fujo ili wauawe ilhal wao wamakula bata