Makamanda Monduli wasambaratisha ngome ya Lowassa

Makamanda Monduli wasambaratisha ngome ya Lowassa

Wanamkataa mkubwa wao? kweli sasa nimeamini yaliyosemwa yanatimia ...change is coming tomorrow,this time tomorrow, things gonna change.

Na ndio maana watu munakufa na stress kwa kuamin ujinga.
Watu kama nyinyi ndio kundi kubwa la wafuasi wa CDM hamushughulishi akili zenu, munachukua vya kuambiwa tu.
 
Mkuu wewe ni GT mzuri kabisa jibu hoja kwa hoja.Hivi ni lini na wapi ulisikia utetezi wa Mh.Lowassa juu ya Richmond?
Hukumu siku zote kwa kusikiliza pande zote mbili,sina hakika kama utakuwa umenielewa.Ila namaanisha ili mtu awe mtuhumiwa ni juu ya mamlaka kumfungulia jalada na kufanya chochote juu yake kwa mujibu wa sheria lakini mpaka leo hilo halipo.
Hivi uoni kwamba mtu huyu ni Innocent aliyewaokoa watu wake na gharama za kurudia uchaguzi..?
Mtu huyu angelikuwa ni fisadi angeliwachongea wenzake na yeye kuwa mkuu wa Nchi enzi ile lakini hakufanya hivyo sababu ya uadilifu wake.
Mnapoleta thread kama mtegemee kuwa na watu wenye mitazamo tofauti,hivyo hoja za matusi,kejeli na dhihaka hazifai.
Kama kiongozi wetu aliona taifa likiangamizwa lakini akanyamaza kwa sababu yoyote ile hatufai.Kunyamazia uovu sio sifa ya kiongozi tunayemtaka.Huyu aende tu akachunge ng'ombe zake huko Ngarash.
 
Back
Top Bottom