Makamanda niliwaambia jana kuwa tunapiga ada zenu za uanachama hapa nyumbani kwa mjomba wangu nyie mkabisha, sasa leo mmethibitisha nyumbu wakubwa nyie. Na kuanzia kesho kafanyeni kazi kama punda mkipata hela mje mlipie kadi za uanachama tuendelee kula bata.