Hahahah... Sasa mwenzako ndo anaona amependeza..,Mimi manzi akishakuwa na chochote cha bandia mwilini mwake huwa stimu hazipandi kabisa.
Kuanzia nywele,kucha,kope na hata rangi,na akitaka aniue kabisa ajipakaze yale marangi rangi mdomoni na juu ya macho.Hapo hata kama nina kiu ya mwezi sifui dafu!.
teh teh tehMkuu STUNTER ebu fanya kama unatupia kapicha kusubstantiate thread yako
kapicha ka godoroteh teh teh
unataka kapicha ka kalio??
Mkuu STUNTER ebu fanya kama unatupia kapicha kusubstantiate thread yako
Mhhh... Ushawahi Kununua Soda alafu unakuja kunywa unakuta ni maji? Ile mood unayokuwa nayo sasa imagine ndo inakukumba sita kwa sita...
Sema ndo ivyo Men huwa tunavunga tu