Makala ya Mjengwa kuhusu wahisani kugomea bajeti Sakata la Escrow

Huu ni upumbavu mkubwa. Wahisani wamegoma kutoa pesa kwa lengo la kushinikiza uwajibikaji wa serikali, not otherwise. Najua wananchi wengi wataumia sana lakini ni watu hawa hawa ambao hawaiwajibishi serikali yao kwa namna yoyote, tena hata hizo nazo zikija zitaibwa tena tu. Nasema hivi, WAHISANI MSITOE PESA HADI SERIKALI IWAJIBIKE NA WAHUSIKA WOTE WAWAJIBISHWE. Wananchi tungeshindwa kwa sasa, ila uchaguzi ujao tunawanyima kura. Wewe Maggid Mjengwa zamani nilikuwa nakuona mtu wa maana sana, ila kwa sasa hapana; you want to promote INSANITY!
 

nakuunga mkono kwanza the so called wahisan I hate them. liwaao hao tu. they got their interest. sio watu wena hata kidogo.

about mjengwa. kabla ya kuoana na mswede alikuwa RAIA mzur mtanzania halisi. wascandinav wanatabia flan sitaisema hapa.

nilikuwa makini akijinasibu na kumwuita Asha rose mama. Ni sahihi ni mama Yetu. tatizo alivyokuja kutaka kumuuzia wanja. najau hajanunua.

mtazamo wangu. hawa wazungu wala wasilete hela zao. na nisingeona ajabu wangetoa japo wanajua zinaliwa kwa sabb ni hawohawo wezi.

utawala. nadhani kujitawala wenywwe hatuwez. we are done. tulipata Uhuru wa bendera. lakin mkolon mweuzi hatujamuweza. ni kikulacho kinguoni mwako.

marekani au wajeruman watuchukue tu liwalo na....

namshaur kaka angu mjengwa school mate epuka kuwapigia magoti watu. ungetangaza ungeuza tu plot yenu. buy time locate schedule mambo yenu. you will definitely make it.
 
wahisani wakate kabisa misaada hii nchi si ya kusaidiwa hata kidogo mbona mkapa alithubutu mpaka kulipa madeni ya ndani na ya nje wazee wale wa east africa mpaka kesho wanamlilia mkapa pamoja na mapungufu huyu simsahau alipandisha mshahara 50% kimya kimya hata majani ya chai hayakupanda bei enz zake walim walijenga sana semina kibao akaleta pesa shuleni leo hii acha tu majanga yasiyosemeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…