Sawa kazi njema keyboard warrior.
Nakukumbusha kuwa Soka,Mdude hawapo haufiki hata nusu yao.
Nakukumbusha tena dogo hii ni Tanzania sio U.S usijesema sikukuambia.
Nausifikiri huwezi fikiwa kisa hizi fake ID haya kazi kwako kukaza kichwa na kuendelea kutukana.