njundelekajo
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 310
- 228
Engelbert Kiondo, bila shaka umesoma sheria na katika sheria imeainisha kazi halali na kazi isiyo halali. Tunaposema kazi halali inayompa mtu kipato ukahaba si kazi halali japo unampa mtu kipato lakini si kazi halali, Afande kazi hii wanawake hawa wanaifanya si kwa lengo la ora kwa Kila Mtanzania" tuliyoahidiwa lakini nadhani hata muasisi wa "Ari Mpya, Kasi Mpya na Nguvu Mpya" hawezi kuungana na wewe kuhusu hili. Tusiendelee kulea maovu kiasi hiki. Nyie Polisi mmekuwa mkiwaua raia je hili liko kwenye katiba? Najua utasema Polisi huwa wanajihami, je raia wakijihami mbona mnasema haiko katika katiba. Samahani ingekuwa Ndugu yako wa karibu kabisa katika zoezi lenu la kuwaondoa machangudoa ukakutana na ndugu yako wa damu ungemwambia dada endelea katiba inakuruhusu.
Una maana gani unaposema zoezi hilo la Kenyela haliko kwenye katiba kwa hiyo ni hahali kuendelea kufanyika???. Ningekuwa IGP ningekuvua vyeo vyako, maana wenzio wanakemea maovu wewe unahubiri maovu.
hata kama Kenyela amekosea,Kiondo hakutakiwa kuliongelea jambo hilo kwa jamii.
Kiondo anaweza kua sahihi
ila kumkosoa mwenzake kwenye vyombo vya habar inaweza kua tatizo
msishangae akarud makao makuu kupanga mafail,inaweza kua sheria hakuna
ila machangu hukamatwa kuanzia enzi haijaanza leo na ndio humo suspect
wa madawa ya kulevya na ujambazi hupatikana police lazima awe skeptic
kitu ambacho askar wetu wanajsahau.
hata kama Kenyela amekosea,Kiondo hakutakiwa kuliongelea jambo hilo kwa jamii.
Kwa taarifa yako, ukahaba ni kosa kishria.
Tanzania Penal Code
CHAPTER XV
Ofences Agaist Morality.
146. Any woman who knowningly lives wholly or part of the woman earning of prostitution or who is proved to have, for the purpose of gain, exercised, control, direct or, influence other over the move for engaging in prostitute in such a manner as to show she is aiding, abetting or compelling her prostitution, with any person, is guilt of misdemeanour.
Sababu zako ni zipi?
Tujuze
ni kweli kwa sheria za kazi kunapokuwa na mgongano wa kauli si vizuri.Na Kiondo kachemsha kwa kuongea na media juu ya maoni yake. Au kwa kuwa siyo mwenzao.
ukweli ni kuwa kENYELA KACHEMKA SANA TUUU!
To your opinion, unadhani Kenyela alikurupuka tu kwenda kukamata au alijulishwa na wananchi wa maeneo yale kwamba wanapata kero kutokana na uwepo wa hayo madanguro?ukweli ni kuwa kENYELA KACHEMKA SANA TUUU!
kwa nini?ukweli ni kuwa kENYELA KACHEMKA SANA TUUU!