Makadirio ya upauaji wa nyumba sqm 150

Makadirio ya upauaji wa nyumba sqm 150

Frank Msambila

New Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
3
Reaction score
2
samahan kwa kuwapotezea muda. mi ni kijana ambaye nimejaribu kuanza kibanda changu lakini kwa bahati mbaya ramani ya paa imepotea. na nimeshafika ujenzi wa juu wa matofari mda kidogo. nyumba yangu ina wastan wa 150sqm. kama natumia bati za kupima za araf hafu nina bajeti ya milion 6 inakuaje? au milion 5 mpaka 6 naeza nikafanya itapendeza?
je? inawezekana kudizain paa kama ramani niliyonayo ni ya mchoro wa chini tu?
 
Ukiongeza 500, 000 inatosha. Nitafute 0655173113
 
Bati za aina gani? Hiyo hela itatosha kama utatumia mabati gauge 30 yale ya kawaida, pia utumie mbao za kawaida uzipake oil chaf na si zile treated. Vinginevyo haitatosha
 
Back
Top Bottom