Makada wa CCM wawe wapole

Wenzako walikosoa wakapigwa risasi na wengine kutekwa.

Shukuru Mungu wanaishia kukublock tu.
 
"ATAKE ASITAKE ", andika hivyo kwa herufi kubwa, watakupongeza hao wote.
Nchi ya chama kimoja hii. Ujinga ujinga ni mwingi sana Tanzania
Yaani wanapenda sana kupambwa na maneno matamu
 
Huo uhuni upo twitter kama wote tutaorodhesha walio tublock kazi itakua kubwa mimi Lissu aliniblock kisa tu nilimwambia hatoshinda uraisi na sapoti ya maandamano watu hawatoki!
Sasa ulikuwa unasubiri nini kuandika uzi wako kuhusu hiyo kero? Jaribu kuwa serious na matumizi ya akili yako
 
Kabisa ndugu uko sahihi
 
Ni positive response na siyo positive respond, najua hamtaki kiingereza ktk awamu hii ya 5 lakini kwa English grammar mbovu kama hiyo lazima tuseme!
 
Mbona hujawasema wanaharakati.

Wanablock watu hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…