Kwani waliowahi kuwa na tofauti? Ndio maana ACT ni kusanyiko la wasaliti waliotimuliwa Chadema , wakfadhiliwa na CCM na ndio maana wamesajiliwa bila kuwa naKatiba , kama ipo waweke hapa ......msajili aliwasajili kwa maelekezo tuu ya Lumumba ....SAS hapo ndipo nashindwa kuelewa tofauti ya CCM na ACT
Mwaka mbaya huu kwa CCM na ACT ,aibu yenu hiii , Zitto na Kitila Mnatia aibu sana katika kuwahadaa wtz , sababu ni fedha , ndio maanaChadema iliwabaini na kuwafukuza mbali kumbe mlitaka kuifanya kuwa ni tawi la CCM? Sasa aibu hizi mtaziweka wapi ?
Januari Makamba, Ridhiwani Kikwete, Nape Nauye, Habib Mchange, Stephen Masele, watajwa kusaidia ACT, Madiwani waonja machungu ya ACT warejea kuomba radhi
Umesoma tamko ama unatumia mchina? mods saidia mutu huyu aweze soma tamko ili a comment akiwa na ufahamunaona porojo tu humu. endelea kuwadanganya wapuuzi wenzio.
Umejileta , umeumbuliwa na ukuwadi wako , aibu sana kwako kijana , natafuta muda wa kuweka taarifa za Zitto ulivyozifikisha kwa Maswi baada ya kukosana naye .....hahahhaaaaaa....Kile kiwanda cha mapishi ya uongo na uzushi kimeanza kaZi yake sasa
Mwaka mbaya huu kwa CCM na ACT ,aibu yenu hiii , Zitto na Kitila Mnatia aibu sana katika kuwahadaa wtz , sababu ni fedha , ndio maanaChadema iliwabaini na kuwafukuza mbali kumbe mlitaka kuifanya kuwa ni tawi la CCM? Sasa aibu hizi mtaziweka wapi ?
Kwani waliowahi kuwa na tofauti? Ndio maana ACT ni kusanyiko la wasaliti waliotimuliwa Chadema , wakfadhiliwa na CCM na ndio maana wamesajiliwa bila kuwa naKatiba , kama ipo waweke hapa ......msajili aliwasajili kwa maelekezo tuu ya Lumumba ....
Naona uko zamu mkuu. Msukule weyeUmesoma tamko ama unatumia mchina? mods saidia mutu huyu aweze soma tamko ili a comment akiwa na ufahamu
mwl. Umeona jinsi hao madiwani walivyo kuwa on transit ? Au wewe hushirikishwi kikamilifu? Muulize Mjumbe wa kamati kuu Habib Mchange ndio alikuwa kiungo na hata ushahidi wa mpesa imetolewa kwa waandishi fuatilieni media za jioni na kesho maana tamko limetolewa leo mwanza .....Ukiona mtu au watu wako busy wanakuzungumzia au wanakuandika,tambua kwamba ni jinsi gani wanavyoogopa nguvu ulionayo,kwa sasa CDM wako busy na kuishambulia ACT, CDM ameiua Mbowe, sasa wanatafuta mlango wa kutokea.Wanafikiri mlango wa kutokea ni kuihusisha ACT na CCM,CDM mtaandika sana lakini ACT inazidi kusonga mbele.Lakini ni vyema mkaendelea kuiandika ACT ili watanzania wajue jinsi gani CDM walivyo na kiwanda cha kutengeneza uongo. Na Bado.
Ni bahati mbya kwako kwa kuwa huelewi hasa yanayoendelea kiundani kati ACT naUkiona mtu au watu wako busy wanakuzungumzia au wanakuandika,tambua kwamba ni jinsi gani wanavyoogopa nguvu ulionayo,kwa sasa CDM wako busy na kuishambulia ACT, CDM ameiua Mbowe, sasa wanatafuta mlango wa kutokea.Wanafikiri mlango wa kutokea ni kuihusisha ACT na CCM,CDM mtaandika sana lakini ACT inazidi kusonga mbele.Lakini ni vyema mkaendelea kuiandika ACT ili watanzania wajue jinsi gani CDM walivyo na kiwanda cha kutengeneza uongo. Na Bado.