Unafiki Mbaya sana kweli mtu anayekwenda kulima anavaa hivi wapi umeona. Wacheni kucheza na akili za watanzania watanzania wa sasa sio wale wa mwaka 47. wanawaangalia tu majibu 2015
Hii picha ni kama ya kuigiza vile kwa kuwa kuna watazamaji wanawashangaa waliosimama nyuma. Hii ndiyo tafsiri yanguView attachment 122778
watapigika sana mpaka 2015 ifike juzi tena walionekana wamebeba magogo,mara wameshika matope mnakumbuka shuka kumekucha mnajidai kuonyesha ushirikiano kwa kupigwa picha toooooo late