GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,883
- 109,602
pajengwe tanuri la kuchomea miili ya wafu hapo,Kinachofanyika sasa katika Makaburi ya Waislamu Kawe Mzimuni siyo Uzikaji wa Staha bali ni kutupa tu Maiti kisha Kuifukia na Waombolezaji Kutawanyika.
Ni kawaida kwa Muombolezaji akienda Mazikoni hapo Makaburi ya Waislamu Kawe Mzimuni kukutana na Mifupa ya Marehemu na hata Mafuvu yao kutokana na kwamba Eneo limeshajaa na Watu ( Wafiwa ) pamoja na Mamlaka zinalazimisha Kuzika kwa Kupandiana na Kushindiliana katika Kaburi kitu ambacho GENTAMYCINE nakiona si kizuri kwa Wapendwa wetu Waliotutangulia mbele za Haki ( Kufariki ) dunia.
Mamlaka husika iliangalie hili upesi.
Sikujua kuwa kumbe kuna Siku huwa unakuwa na Akili ila basi tu huwa unaamuza Kujizimaga Data yako.pajengwe tanuri la kuchomea miili ya wafu hapo,
Mambo ya makaburi wenzetu washaacha kitambo
Niliweka uzi humu kuhusu suala la mazishi Dar walinirushia maneno ya hovyo as if hawatazikwa, ukweli hali ni mbaya, si kwamba Mamlaka hazijui, ni kwamba suala la mazishi kwao siyo deal, haliwalipiKinachofanyika sasa katika Makaburi ya Waislamu Kawe Mzimuni siyo Uzikaji wa Staha bali ni kutupa tu Maiti kisha Kuifukia na Waombolezaji Kutawanyika.
Ni kawaida kwa Muombolezaji akienda Mazikoni hapo Makaburi ya Waislamu Kawe Mzimuni kukutana na Mifupa ya Marehemu na hata Mafuvu yao kutokana na kwamba Eneo limeshajaa na Watu ( Wafiwa ) pamoja na Mamlaka zinalazimisha Kuzika kwa Kupandiana na Kushindiliana katika Kaburi kitu ambacho GENTAMYCINE nakiona si kizuri kwa Wapendwa wetu Waliotutangulia mbele za Haki ( Kufariki ) dunia.
Mamlaka husika iliangalie hili upesi.
Wao ni wao na sisi ni sisi, tufanye yetu na wao tuwaache na yaopajengwe tanuri la kuchomea miili ya wafu hapo,
Mambo ya makaburi wenzetu washaacha kitambo
Mkuu usichukulie kila kitu serious, muda mwingine humu mtu unaongea Jambo hili siku ziende au kupunguza mafuta kwenye miili kwa kutiana panicSikujua kuwa kumbe kuna Siku huwa unakuwa na Akili ila basi tu huwa unaamuza Kujizimaga Data yako.
Lete hiyo Aya au sura inayosema hivyo sheikhhKwa mujibu wa dini ya kiislam, kaburi moja linatoshea hadi wafu 40. Hivyo ni kawaida kutokea hali hiyo.
Waislam wanazika, hawachomi moto. Hiyo ni kwa mujibu wa Sharia. Sasa hayo mambo ya wenzenu hayauhusu Uislam.pajengwe tanuri la kuchomea miili ya wafu hapo,
Mambo ya makaburi wenzetu washaacha kitambo
Sio kwa mifupa na mafuvu ya binadamu kutapakaa nje ya kaburi Kuna uzikaji wakeKwa mujibu wa dini ya kiislam, kaburi moja linatoshea hadi wafu 40. Hivyo ni kawaida kutokea hali hiyo.