Kwa mtazamo wangu finyu ni kwamba Makabila Watani ilianza kutokana na kuhamahama kwa jamii ya Kabila kutoka sehemu moja kwenda nyingine, huenda kwa kukimbia vita au kutafuta malisho ya mifugo.
Hivyo katika kuhama wanapita katika eneo la kabila lingine, endapo kama kabila mwenyeji atamruhusu kupita basi hapo wanatengeneza undugu / watani.
Mfano ni Wangoni wakati wa vita vya maji maji walimopita na kushirikiana nao katika vita ile NDIO LEO WATANI WA WANGONI.
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!