Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,723
- 165,107
Wadau,kuna hii idea isiyo rasimi na wala si ya kikatiba kwamba, makabila fulani fulani makubwa hapa nchini, ni hatari kuingia Ikulu na ni bora makabila haya madogo madogo.
Now,lets be realistic.Is this true?
Or, in other words,does this idea still hold so far?
That was just the paranoia of our early post-independence leadership!
BUT, ALAS!, SOME PEOPLE STILL JUSTIFY THOSE FEARS EVEN TODAY!
JUST MAKE A RESEARCH IN ANY OFFICE WHERE THE BOSS IS FROM SOME WELL KNOWN TRIBES AND SEE THE PERCENTAGE OF SUBORDINATES FROM THE TRIBE!
Hazikuwa fikra mgando mkuu! Kwa wakati ule zilikuwa na mantiki kweli, ila kwasasa nadhani hazina maana tena ukiangalia jinsi nchi ilivyojichanganya.zilikuwa ni baadhi ya fikra mgando za nyerere hzo. Mtu hapimwi kwa kabila lake bali uwezo wake kiutendaji
Mkuu Kitini cha Mshahara, hili nimewahi kulizungumza hapa Sumu ya Siasa za Udini, Ukanda na Ukabila, "Is It Real?Wadau,kuna hii idea isiyo rasimi na wala si ya kikatiba kwamba, makabila fulani fulani makubwa hapa nchini, ni hatari kuingia Ikulu na ni bora makabila haya madogo madogo.
Now,lets be realistic.Is this true?
Or, in other words,does this idea still hold so far?
Wanabodi,
Wanabodi nauliza, hii sumu ya siasa za ukabila na ukanda are they real au ni dhana tuu?!.
Jee Watanzania hawana makabila yao?, Lazima tukubali tukatae, Tanzania kuna dorminant tribes na makabila madogo madogo. Kati ya hizi dorminant tribes lazima tukubali kuna baadhi yake wana ukabila wa kutisha!, kuna baadhi yake wana nyodo za ajabu!, kwani iliwahi kutamkwa au kuandikwa popote kuwa watu wamakabila fulani sio hawafai kuchukua urais wa nchi hii, bali hawawezi kupewa kwa sababu matokeo tunayajua!, hivi tuu walivyo na hizo nafasi kubwa kubwa tayari ni miungu watu, wakiukwaa urais si ndio wataota pembe kabisa!. Ni general unwritten public opinion kuwa rais wa nchi hii asitokee kwenye hizi dorminant tribes!. Kuna wagombea fulani walinyimwa kura maeneo fulani kwa kuitwa wakuja!. Kuna mikoa fulani mgombea ambaye sio mzawa huitwa "chasaka" na wanakuambia kabila letu kamwe haliwezi kumchagua "chasaka"!. Jee hii ni dhana tuu ya ukabila au ndio ukweli wenyewe?.
Jee mbegu hii ya sumu kaipanda nani?, jee tunaweza kuipiga vita kwa kuikanusha tuu (denial) au tunatakiwa kuubali ukweli mchungu na kukabiliana nao (facing the problem)!.
Nauliza tuu?
Pasco
MTU kweli hapimwi Kwa kabila alilotoka au alilozaliwa. Kwani hakuna anayepanga kuzaliwa kabisa Fulani inatokea out of his will. Katika sifa za uongozi kabila si moja ya sifa. Sifa ni uzalendo, uadilifu, ubunifu, elimu, uzoefu, upendo,uwazi ongeza na sifa zingine za kikatiba. Na kama hoja ya kwamba kabila dogo ndiyo bora basi taifa hili lingekuwa mbali sana kimaendeleo kwani waliongoza wote ni kutoka kabila dogo . yaani wazanaki,wakwere,wamakua na mndengereko.
Mkuu Kitini cha Mshahara, hili nimewahi kulizungumza hapa Sumu ya Siasa za Udini, Ukanda na Ukabila, "Is It Real?
Mleta uzi kajivunjia heshima. Porojo za mtaani za miaka mingi unazileta hapa jukwaani? Hebu kua mkuu.
Ova
Mkuu Kitini cha Mshahara, hili nimewahi kulizungumza hapa Sumu ya Siasa za Udini, Ukanda na Ukabila, "Is It Real?
sasa boss wako lowasa anatumia makanisa nalo unapinga..
Eee Mungu baba,msamehe huyu kwani hajui alitendalo!Mleta uzi kajivunjia heshima. Porojo za mtaani za miaka mingi unazileta hapa jukwaani? Hebu kua mkuu.
Ova