Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Mimi sihitaji miwani ya jua najiamini na kujibali jinsi nilivoumbwa namtukuza Muumba wangu kwa kweli. Kwahyo kunguru akipiga kelele I don't care.

I love my makengeza
Good nimependa ulivyojikubali

Mbona hata mbowe anayo jaman
 
Kilichomtokea ni kama hiyo avatar yako, akutongoze halafu akikutana na wewe anagundua yuko na kifaa cha kumsaidia Mtoto Kunywa Uji vizuri na kwa utulivu
Nanukuu " anagundua yuko na kifaa cha kumsaidia mtoto kunywa uji vizuri na kwa utulivu"
Saluti kwako umeua hapo
 
Katika vitu watu wanajidanganya humu jf ni hilo la kusoma maandishi na kuamini unamjua mtu, utaingia chaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…