Hahahaaa. Nimejifunza si kila Me ni wa kukurupuka tu kuzoweana naye + makubaliano ya kuonana maana inavyoonekana walio wengi wana akili za kitoto.
Usijali Mkuu. Naona umenijia juu ghafla duuuhhh.Sio akili za kitoto tatizo ukidanganya, kujikweza uendane na uhalisia wako, sio kutwa nzima unaponda wanaume mara hivi kumbe mwenyew unayeponda huna lolote. Ni ajabu mtu anawaponda wanaomiliki vits wakati hana hata baiskel ya mbao huo ni uzwazwa. Unajikoki kukutana na mtoto classic kumbe kumbe.....Kuwa kama ulivyo ila kufake na kuponda wengine ni mbaya sana.
Hahahaha ,Mkuu mie niko tayari kwa lolote,muhimu isiwe kizingiti cha Mimi kushindwa kuonana na mtani Wangu HajarHahahaaaa, ombi lako limefika mkuu na linachakatwa kisha majubu yatatolewa wakati muafaka mkuu
Jibu laweza kua la moja kwa moja au laweza kua swali na lenyewe, kwa hiyo jiandae kwa aina yeyote ya jibu mkuu
HahahahaAu unataka ufanye usajili mkuu kwenye ile timu yenu ya kina dada maana hata kama yupo upande mwingine siku hizi kuna kitu kinaitwa "kuunga mkono juhudi" mtu anabadilisha chama😀😀😀
HahahahahahaaaHahahaha ,Mkuu mie niko tayari kwa lolote,muhimu isiwe kizingiti cha Mimi kushindwa kuonana na mtani Wangu Hajar
Ndio maana nituma 'ombi' kwako tena 'ombi rasmi'
Bado matumaini yangu ni kwamba utamruhusu bila vikwazo vyovyote
Ahsante kwa ushirikiano
Merci boucou
Lakini kwanini usiweke picha ama Avatar halisi ili kuepusha utata??Ni mjinga tu atakayevutiwa na avator yangu ka kigezo chake alichokiweka kichwani, eti ndo aamini ndo uzuri, so childish for sure loh.
Lakini kwanini usiweke picha ama Avatar halisi ili kuepusha utata??
Huu Mtandao tunatumia fake identity mkuu kwenye page zetu za fb na ig ndo tunajipost hadharani
Hata uko fb ndo yaleyale...unamuona mtu kapendeza...sasa kutana nae live utashangaa
Mi huwa sihangaiki na appearance maana editing ni kawaida tu basi
Natoa advertise sasa... nataka mimi na wewe tutumiane picha ...Sisi kama sisi
Aliekuvuruga Mungu anamuona.Ngono mnawaza tu jf sio site ya porn had nikutumie picha. You need pictures nenda fb na ig.. Kwanini uombe picha ya ntu jinsia tofauti
Aliekuvuruga Mungu anamuona.
Nilikuwa na mpango wa kuja PM ila hali ya hewa ishaharibika!Hahaaaaa hamna aliyenivuruga hizi topic za watu kulalamika sijui flani mubaya sijui anajifanya ka alipenda urafiki na sio matananio yakiuzinzi mambo yasingefika huko yalipofika aisee
Nilikuwa na mpango wa kuja PM ila hali ya hewa ishaharibika!
Twende PM...Picha ya nini sasa humu JF
Kufanyaje hukoTwende PM...
Im flattered.Njoo wewe nakuelewa ur matured bwana
Walioweka PM si wajinga....tunaenda kule kutumiana PichaKufanyaje huko
Walioweka PM si wajinga....tunaenda kule kutumiana Picha