Hahahaaa. Hapo hapo mnapatamo vya kuhadithia kesho na keshokutwa.Hhhhhmana uzuri wa story kma hizi zikija kuna wengine wakija wanakuja na yao.
Oooh. Huenda ikawa hivyo basi rafiki.Hahahaaaaaa,
Siku hazifanani rafiki, pengine leo umenipa uhuru zaidi
Mim lakini hupuuzwa wala silalamiki nachikichia tu.
Mi buheri wa afyaa mamii,
Natumai u kama mimi
Na hivi vidonge mim nishavimeza.Kuna vya kupuuza Ila vingine vidonge lazima upate wallah
Kabisa tena.Hahahaaa. Hapo hapo mnapatamo vya kuhadithia kesho na keshokutwa.
Ila mie nazipenda pia kwani huwa zikija basi najifunza kila kukicha.
Uko kama mimi...na kimalaria kidogo so nina ka bed rest ka siku tatuHahahaaaa. Ukiona hivyo ujue sijajenga Taifa leo.
Hii ni kweli kabisaSio Makali watu wengi be hopnda kuzalilisha wengine huku wao Wachovu Havana mbele wala nyuma.Hujawahi Kutana na mtu pm ukimpuuza anakuja na I'd nyingine anaku attack
Duuh. Basi tunaumwa wote mwaya maana mie kifua kimebana hapa acha tu.Uko kama mimi...na kimalaria kidogo so nina ka bed rest ka siku tatu
Kuhusu hii story umejifunza niniHahahaaa. Hapo hapo mnapatamo vya kuhadithia kesho na keshokutwa.
Ila mie nazipenda pia kwani huwa zikija basi najifunza kila kukicha.
Sijakwazika Ila ukweli usemweNa hivi vidonge mim nishavimeza.
Hivi ndivo inavotakiwa ukikwazika wew ongea tu utueleze.
Hii ni kweli kabisa
Duh kumbe hii kifua hata mim inanipeleka pute sina raha.Duuh. Basi tunaumwa wote mwaya maana mie kifua kimebana hapa acha tu.
Wachaaaa. Hadi nakuonea wivu siku tatu zote miguu juu.
Hahahaaa. Nimejifunza si kila Me ni wa kukurupuka tu kuzoweana naye + makubaliano ya kuonana maana inavyoonekana walio wengi wana akili za kitoto.Kuhusu hii story umejifunza nini
Acha tu rafiki kinakera hasaa.Duh kumbe hii kifua hata mim inanipeleka pute sina raha.
Ndio maana nikasema utakua umekwazika basi hii bila shaka ni kikwazo kwako.Mi Kuna mtu aliniita malaya kisa kumpuuza. Wengine jf twaja ku socialize tu
Ndio maana nikasema utakua umekwazika basi hii bila shaka ni kikwazo kwako.
Hapa kwenye comments zko za leo umenipa moyo kiasi flani.PM za kijinga zinakera loh