Hahahahahahah, ni noma mkuu kuna moja niliwahi ivutia whatsapp kucheki kumbe ni baamed af kolo kinoma nikaona isiwe kesi, since then no shobo humu! Tuchat tu yaishie hapaNdo hivyo mkuu , jina, mada zake pamoja na avatar vilinifanya ni usiku mzima nisilale nikiingonjea siku ya kuonana na mrembo matata, ila niliyekutana nae sina budi kutubu na kumrudia mola wangu au nikomae na wa huku uswazi kwetu.
Sasa hapo kosa sio avator ni wrong imagination zake tupu. Hivi.mtandao unampenda tu mtu from now where eti avator mi naona ni shida tupuUr just say that bse ur not a man.first we tempted then love..i can be tempted by ur avatar then nikajenga taswira how carha look like naamua kukutokea at the end nikikuona ur away frm my imagination ndicho kilichomkuta mleta thread..
Hahaaaa makubwa haya hivi unavutiwaje na avator ya mtu eti ndo upendo kah kwani mtu akiwa na hyo sura kajiumba yeye si ndo alivozaliwa you can't change it umba wa kwako mzuri, mi ndo mana hushangaa watu humu anataka akuone sura na picha ili iweje. JF ni mtandao mzuri ukiutumia positive wengine tumekutana na watu humu twaheshimiana no utoto sijui sura, status tumekuwa wote Mengi.
Aiseee basi muweke picha zenu ili tatizo la wrong imagination lisiwepoSasa hapo kosa sio avator ni wrong imagination zake tupu. Hivi.mtandao unampenda tu mtu from now where eti avator mi naona ni shida tupu
Hatuwezi kuweka picha halisi ili Ku empress MTU mwenye matamanio yake. Ndo mana hii forum inatumia fake identity. Ukitaka picture waenda fb au IGAiseee basi muweke picha zenu ili tatizo la wrong imagination lisiwepo
Ninong'oneze kidogo....ni nani huyoNdo hivyo mkuu , jina, mada zake pamoja na avatar vilinifanya ni usiku mzima nisilale nikiingonjea siku ya kuonana na mrembo matata, ila niliyekutana nae sina budi kutubu na kumrudia mola wangu au nikomae na wa huku uswazi kwetu.
Sawa nimekuelewa..unatumia account gan IG?Hatuwezi kuweka picha halisi ili Ku empress MTU mwenye matamanio yake. Ndo mana hii forum inatumia fake identity. Ukitaka picture waenda fb au IG
Mi sina account igSawa nimekuelewa..unatumia account gan IG?
Una avatar nzur mkuu..i hope umefanana nayoMi sina account ig
Kilichomtokea ni kama hiyo avatar yako, akutongoze halafu akikutana na wewe anagundua yuko na kifaa cha kumsaidia Mtoto Kunywa Uji vizuri na kwa utulivu